Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Pamoja na kukosea kuandika lakini najua ulikuwa na maana kwamba hudhani.Hapa hatuko kuleta hisia za dhana au makisio au mawazo yetu.Hapa ni facts/ukweli,kama hujui ukweli unakaa kimya,mwenye ukweli analeta ukweli,watu wanaelimika.

Mpaka sasa hakuna hata daktari mmoja aliyeweza kupinga kwa hoja kile nilichoeleza zaidi ya kuleta siasa,hisia na hasira za hovyo tu.

Hapa ndipo athari/matokeo chanya za/ya kitengo cha MIND CONTROL cha kina Rockefeller,Carnegie,Ford,Morgan na wenzao zinapojidhihirisha.Waathirika wa kitengo cha MIND CONTROL hawawezi kamwe kujitambua bila kupata msaada kutoka nje ya nafsi zao.

Mimi niko hapa kuwafanya mjitambue kama mtanihitaji.
sidhani kama ww unaweza kumfanya mtu ajitambue ikiwa hata wewe maana halisi ya kujitambue huijui pia kama unayosema yako sahihi leta research za maabara ulizofanya mwenyewe nasio za watu au kushare video za youtube mm kupingana na wewe kwa maneno ni bure maana kila ninapo zungumza unaona nikasumbua wakati ni taaluma za watu pia kuprove sio kwa maneno tunataka vitendo pia unaweza je kuzungumzia HIV/AIDS ikiwa haipo kwenye taaluma yako kama ww unapingana na wataalamu wa afya kuhusu HIV/AIDS lete research yako hapa
 
'
1."Our bodies can get rid of the so called 'HIV' within few weeks if we have good immune system, without using drugs".

2."ARVs(not HIV) cause AIDS".

Je,una hoja za kupinga ukweli huu?Kama una hoja za kupinga ukweli huu lete hapa ili uokoe watu wasije kuangukia kwenye uongo ninaoleta mimi.Ukiona huwezi kujibu peke yako,ita madaktari unaowaamini waje kukusaidia kujibu.Ukipiga kelele kwa kupamba maandishi yako kwa lugha ya kizungu haitasaidia watu wenye nia ya kukuelewa.Acha jazba na hasira,lete hoja.Nakusubiri.

ningeomba unifafanulie hiyo point namba 1&2 kitaalamu mwili unawezaje kuget ride HIV nipe mechanism
 
Sawa yawezekana hata hivyo huwezi kutest umeme wa grid ya taifa kwa ulimi.utapoteza maisha ndugu.kaa mbali epuka ngon hatarishi.
 
sidhani kama ww unaweza kumfanya mtu ajitambue ikiwa hata wewe maana halisi ya kujitambue huijui pia kama unayosema yako sahihi leta research za maabara ulizofanya mwenyewe nasio za watu au kushare video za youtube mm kupingana na wewe kwa maneno ni bure maana kila ninapo zungumza unaona nikasumbua wakati ni taaluma za watu pia kuprove sio kwa maneno tunataka vitendo pia unaweza je kuzungumzia HIV/AIDS ikiwa haipo kwenye taaluma yako kama ww unapingana na wataalamu wa afya kuhusu HIV/AIDS lete research yako hapa

Ulinikimbia kwenye thread kadhaa kuhusu jambo hilihili,sasa umerudi.Lakini umerudi wakati hujasoma thread hii toka mwanzo.Ungesoma toka mwanzo ungeshapata majibu yote,na ungewaona pia madaktari wenzako walivyoangukia pua kwa kutoa hoja za kitoto kabisa kiasi kwamba hata mtu ambaye hajakwenda shule anawashangaa.

Mimi nimetoa tafiti/scientific papers nyingi zilizofanywa na madaktari na ma profesa ambao wanapinga dhana hii ya HIV/AIDS ambao nao wamesomea masuala ya udaktari kama mlivyo ninyi,madaktari hawa wana uelewa kukuzidi wewe na walimu wako pale chuoni kwako,kuna watu wametoa ushuhuda wao mwingi humuhumu ambao unashabihiana na tafiti hizi.

Pia inabidi ufahamu kwamba mikanganyiko katika dhana hii ya HIV/AIDS sio ya kutafuta bali imejaa tele mitaani na kwenye vituo vya afya kama utajitolea muda na kuanza kudadisi.Vinginevyo ukiendelea kupinga bila kujipa muda wa kufanya udadisi wako mwenyewe kwa haya ninayosema nitaanza kuwa na mashaka na wewe.

Mimi sijui kama kweli shida yako ni kutaka utafiti au kutaka utafiti uliofanywa na mimi.Kama umeshindwa kukubali utafiti uliofanywa na madaktari na ma profesa wengine kwenye hii hii field ya medicine,basi nina mashaka kama utakubali utafiti niliofanya mimi.Madaktari na maprofesa hawa wameshafanya tafiti zao za kisayansi za kimaabara,mimi nimefanya tafiti za kulingalisha kile kinachotokea mitaani na kwenye vituo vya afya na tafiti za hawa madaktari/maprofesa.Nilichokiona kimenidhihirishia kwamba hawa madaktari/maprofesa wanaopinga dhana hii wako sahihi 100% na wanaokumbatia dhana hii hawako sahihi kabisa kiasi ambacho hata wao wenyewe wanajua kwamba hawako sahihi.Ninyi wafuasi wao ndio mmeshikiliwa akili zenu mkiwafuata nyuma bila kujua ukweli na lengo lao ni nini.

Kijana unahitaji kusoma sana mambo mbalimbali yanahusu dunia hii kwa udadisi mkubwa,vinginevyo elimu yako haitakuwa na msaada unaofaa kwa wengi.Usichukulie mambo juu juu.
 
ningeomba unifafanulie hiyo point namba 1&2 kitaalamu mwili unawezaje kuget ride HIV nipe mechanism

ningeomba unifafanulie hiyo point namba 1&2 kitaalamu mwili unawezaje kuget ride HIV nipe mechanism

1.Sio kuget ride ni get rid of.

Muulize mgunduzi halisi wa 'HIV' profesa Luc Montagnier,huyu mgunduzi ndio mungu wenu,na yeye ni mojawapo wa ma profesa waliosema hivyo.Sasa kwa kuwa yeye naye anakubali kwamba 'HIV' anaweza kuondoshwa na kinga ya mwili bila kutumia dawa yoyote,basi nafikiri huyu ndiye mtu pekee kwennu ninyi madaktari kumwamini,maana ndio mungu wenu,akisema chochote mnakiamini.Sasa muulize yeye akuelezee mechanism yake.

Akishakujibu swali lako,muulize pia Anthony Faucci swali hilo hilo,maana Faucci ndio anayewatengenezea slogan za HIV/AIDS zile mnazozitumia kila kukicha,yeye ndiye anayesimamia kuanzishwa kwa definition mpya za HIV/AIDS pale ambapo definition za zamani zinapokosa mashiko na uhalisia,yeye ndiye anayesimamia sheria mpya kwenye HIV/AIDS kama zile za kupima baada ya miezi 3,kupima vituo 3 tofauti,kuwa na comfirmatory test za HIV,kubadili vigezo vya kuanza dawa kutoka chini ya CD4 200 hadi chini ya CD4 500,kubadili cocktail za ARVs na kuwapima kwa lazima kina mama wajawazito eti wasije kuambukiza watoto zao kwa kutoanza ARVs mapema.

Ukishapata jibu la Faucci,muulize Robert Gallo swali hilohilo,maana yeye ndiye mungu wenu mwingine ambaye ndiye aliyetangazwa rasmi na Heckler 1984 kwamba ndiye ANAYEMILIKI HIV,huyu atakupa jibu hadi wewe mwenyewe utafurahi.

Kama utapata nafasi pia unaweza kumuuliza George W.Bush,ukishindwa kumpata Bush,muulize Thabo Mbeki atakueleza Bush anasemaje kuhusu hii dhana.Kama Mbeki hutampata muulize Yoweri Museveni,maana museveni anajua hii dhana vizuri na sio mwoga kuelezea jambo kwa uwazi kama walivyo marais wengine.

Ukishindwa kupata jibu kwa wote hao,basi endelea na kile unachokijua kwamba HIV/AIDS ni ugonjwa hatari,unaua,hauna tiba,unaambukizwa kwa njia ya ngono na ARVs ndio dawa iliyogundulika ya kurefusha maisha.

2.Kuhusu ARVs kusababisha AIDS,nilishatoa link ya website ya CDC(Center for Infectious Disease Control ya USA) humuhumu inayoelezea madhara ya ARVs,nilishatoa pia scientific papers humuhumu kuthibitisha hilo,mtaani na mahospitalini pia kuna uthibitisho wa kutosha wa kuona kwa macho madhara hayo husika.Je,wewe kweli hulijui hili?Kama hujui basi anza kufuatilia haya niyasemayo na acha kukumbatia na kutetea dhana hii ovu bila hata wewe kujijua,usiwe mgumu wa kubadilika.Jishushe hutaaibika,ni katika kujifunza mambo mapya ambayo hujayazoea na kamwe hutafundishwa mambo haya darasani.
 
Inawezekana 100% ukalala na mwenye HIV peku na usipate maambukizi japo inategemea mambo kama maandalizi ya kutosha ambayo yatapelekea kutotokea kwa michubuko na hasa wale mnaosema zina maji ndio rahisi kuokoka maana na maji hayo ni vigumu mchubuko kutokea.
Pia kwa ambaye ameanza kutumia ARV hatari ya kumwambukiza mwenzake ni ndogo kuliko ambae hajaanza dawa.

Nimeshuhudia wapo waliopata mpaka mtoto ila mama ana virusi na baba hana.
Kwa wale wanaofanya kazi maabara pia wataona baadhi ya wapenzi wanaoenda kupima HIV unakuta mmoja ana HIV na mwingine hana huku akishuhudia wapo pa1 muda mrefu na .......

kikubwa ukisalimika ni jambo la kumshukuru Mungu.
 
Nimeshuhudia wapo waliopata mpaka mtoto ila mama ana virusi na baba hana.

Ushuhuda mzuri sana huu...

Kwa wale wanaofanya kazi maabara pia wataona baadhi ya wapenzi wanaoenda kupima HIV unakuta mmoja ana HIV na mwingine hana huku akishuhudia wapo pa1 muda mrefu na .....

Unachosema ni kweli kabisa na ndio asilimia kubwa ya kinachotokea maabara....

kikubwa ukisalimika ni jambo la kumshukuru Mungu.

Hapa ndipo mnapoharibu.Mkifikia mahali hapa huwa consciousness zenu zinatengana na mwili na kuruhusu consciousness nyingine ziingie kwenye miili yenu na kuwatawala.Hapa ndipo ninapoendelea kuwathibitishia watu kwamba kitengo cha MIND CONTROL cha kina Rockefeller kimefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana.

Yaani akili zetu zina ganda tunapofikia kwenye kutoa hitimisho.Kwenye suala hili tunaanza vizuri sana na hatua ya observation,tunafanya vizuri sana kwenye hatua ya experimentation na tunaona kabisa kwamba experiments zinaendana na observation zetu,tunapofika mahali pa kutoa conclusion/hitimisho tunasahau observations na experiments zetu na kumuingiza mungu ambaye hakuwapo wakati wa mchakato mzima wa utambuzi wa tatizo.

Tunashindwa kutumia akili zetu kuhoji,kudadisi au hata kuuliza pale ambapo tunaona mikanganyiko inajitokeza,badala yake tunaishi kwa kasumba kukumbatia dhana zisizo na mashiko huku tukimsingizia mungu kuhusika na mikanganyiko hiyo.

Huwa nasikitika sana ninapoona mambo kama haya.
 
Ok. Muhimu ni kufanya maandalizi ya kutosha (kuandaana) kabla ya game na pia kuhakikisha maumbile yako hayana michubuko kwani wapo wenye fangasi sugu ambapo ngozi inakuwa imeliwa kwa kiasi kikubwa sana = hatari. Wapo wenye vipele katika umbile la kiume napo = hatari pia ndio maana watu walihimizwa "kutahiriwa" ili kupunguza kasi ya maambukizi ya VVU.

Naomba kuwasilisha.
 
Je unatambua kwamba consciousness iliyokuongoza kuandika hayo siyo wewe? Au niulize kwa jinsi tofauti. Je,unajua kwamba kuna consciousness nyingine tofauti na wewe ambayo ndiyo iliyokuongoza kuandika hayo uliyoandika hapo juu? Au je,unajua kwamba kuna watu wengine wanafikiria kwa niaba yako? Au je,unajua kwamba nafsi yako inamilikiwa na nafsi nyingine?

Wewe sio mwili,wewe ni consciousness.Je,unajua kwamba consciousness nyingine zimevaa mwili wako na zinautumia mwili wako kwa faida za miili yao?Ukilitambua hili ndipo itakapokuwa rahisi kwako kutambua ukweli wa dhana nyingi OVU ikiwemo hii ya HIV/AIDS.
 
1.Sio kuget ride ni get rid of.

Muulize mgunduzi halisi wa 'HIV' profesa Luc Montagnier,huyu mgunduzi ndio mungu wenu,na yeye ni mojawapo wa ma profesa waliosema hivyo.Sasa kwa kuwa yeye naye anakubali kwamba 'HIV' anaweza kuondoshwa na kinga ya mwili bila kutumia dawa yoyote,basi nafikiri huyu ndiye mtu pekee kwennu ninyi madaktari kumwamini,maana ndio mungu wenu,akisema chochote mnakiamini.Sasa muulize yeye akuelezee mechanism yake.

Akishakujibu swali lako,muulize pia Anthony Faucci swali hilo hilo,maana Faucci ndio anayewatengenezea slogan za HIV/AIDS zile mnazozitumia kila kukicha,yeye ndiye anayesimamia kuanzishwa kwa definition mpya za HIV/AIDS pale ambapo definition za zamani zinapokosa mashiko na uhalisia,yeye ndiye anayesimamia sheria mpya kwenye HIV/AIDS kama zile za kupima baada ya miezi 3,kupima vituo 3 tofauti,kuwa na comfirmatory test za HIV,kubadili vigezo vya kuanza dawa kutoka chini ya CD4 200 hadi chini ya CD4 500,kubadili cocktail za ARVs na kuwapima kwa lazima kina mama wajawazito eti wasije kuambukiza watoto zao kwa kutoanza ARVs mapema.

Ukishapata jibu la Faucci,muulize Robert Gallo swali hilohilo,maana yeye ndiye mungu wenu mwingine ambaye ndiye aliyetangazwa rasmi na Heckler 1984 kwamba ndiye ANAYEMILIKI HIV,huyu atakupa jibu hadi wewe mwenyewe utafurahi.

Kama utapata nafasi pia unaweza kumuuliza George W.Bush,ukishindwa kumpata Bush,muulize Thabo Mbeki atakueleza Bush anasemaje kuhusu hii dhana.Kama Mbeki hutampata muulize Yoweri Museveni,maana museveni anajua hii dhana vizuri na sio mwoga kuelezea jambo kwa uwazi kama walivyo marais wengine.

Ukishindwa kupata jibu kwa wote hao,basi endelea na kile unachokijua kwamba HIV/AIDS ni ugonjwa hatari,unaua,hauna tiba,unaambukizwa kwa njia ya ngono na ARVs ndio dawa iliyogundulika ya kurefusha maisha.

2.Kuhusu ARVs kusababisha AIDS,nilishatoa link ya website ya CDC(Center for Infectious Disease Control ya USA) humuhumu inayoelezea madhara ya ARVs,nilishatoa pia scientific papers humuhumu kuthibitisha hilo,mtaani na mahospitalini pia kuna uthibitisho wa kutosha wa kuona kwa macho madhara hayo husika.Je,wewe kweli hulijui hili?Kama hujui basi anza kufuatilia haya niyasemayo na acha kukumbatia na kutetea dhana hii ovu bila hata wewe kujijua,usiwe mgumu wa kubadilika.Jishushe hutaaibika,ni katika kujifunza mambo mapya ambayo hujayazoea na kamwe hutafundishwa mambo haya darasani.

unarudi pale pale mimi nataka experimental medicine uliyofanya ww tuletee hapa hayo unayoyasema ww unaweza kuthibitisha pia kama ww huwezi hao walikuambia na kukudanganya wanaweza kuthibitisha kwa maabala na wanatumia taalumu gani kusema hayo maneno pia utafiti katika medicine hatuna utafiti wa maneno tunaingia baabala ndo mjadala unaanza
 
unachosema ni ukweli. hiv ilikua ni mojawapo ya mbinu za marekani kupunguza idadi ya watu duniani. project hii ilianzishwa na rais kissinger ikiongozwa na dr. gallo. mpango wao ulikua ni kutengeza aina ya kirusi chenye uwezo wa kushambulia kinga ya mwili. kirusi hiki kilitengezwa kwenye maabara nchini marekani kwa kuchanganya genes za virusi viwili hatari ili kufikia ndoto ya kissinger ya kutengeza biological weapons.

ila palipo na giza nuru huonekana. daktari mmoja wa kujitegemea nchini humo alifanikiwa kuunda kifaa kidigo kinachotumia umeme wa volt tisa mpaka kumi na tisa chenye uwezo wa kuua virusi vya hiv, cancer na magonjwa mengi sugu. lakini mamlaka husika imetumia mbinu zote na kuhakikisha kifaa hiki hakijulikani. so ni siri kubwa.
kwa maelezo zaidi na jinsi ya kupata kifaa hiki nitumia arafa davkm2@gmail.com. asante
 
Je unatambua kwamba consciousness iliyokuongoza kuandika hayo siyo wewe? Au niulize kwa jinsi tofauti. Je,unajua kwamba kuna consciousness nyingine tofauti na wewe ambayo ndiyo iliyokuongoza kuandika hayo uliyoandika hapo juu? Au je,unajua kwamba kuna watu wengine wanafikiria kwa niaba yako? Au je,unajua kwamba nafsi yako inamilikiwa na nafsi nyingine?

Wewe sio mwili,wewe ni consciousness.Je,unajua kwamba consciousness nyingine zimevaa mwili wako na zinautumia mwili wako kwa faida za miili yao?Ukilitambua hili ndipo itakapokuwa rahisi kwako kutambua ukweli wa dhana nyingi OVU ikiwemo hii ya HIV/AIDS.

consciousness unajua ni nini? pia hayo uliyosema hapo juu hayapo sawa Consciousness is equal to spirit + matter na pia consciousness inaweza je kuvaa mwili ? pia consciousness nyingine ndo ipi? nafsi ndo nin? na inamilikiwa vip na nyingine
 
unachosema ni ukweli. hiv ilikua ni mojawapo ya mbinu za marekani kupunguza idadi ya watu duniani. project hii ilianzishwa na rais kissinger ikiongozwa na dr. gallo. mpango wao ulikua ni kutengeza aina ya kirusi chenye uwezo wa kushambulia kinga ya mwili. kirusi hiki kilitengezwa kwenye maabara nchini marekani kwa kuchanganya genes za virusi viwili hatari ili kufikia ndoto ya kissinger ya kutengeza biological weapons.

ila palipo na giza nuru huonekana. daktari mmoja wa kujitegemea nchini humo alifanikiwa kuunda kifaa kidigo kinachotumia umeme wa volt tisa mpaka kumi na tisa chenye uwezo wa kuua virusi vya hiv, cancer na magonjwa mengi sugu. lakini mamlaka husika imetumia mbinu zote na kuhakikisha kifaa hiki hakijulikani. so ni siri kubwa.
kwa maelezo zaidi na jinsi ya kupata kifaa hiki nitumia arafa davkm2@gmail.com. asante

sio kweli tatizo watu hata maana na mechanism ya hayo magonjwa hawajui je hiko kifaa kinaweza kufanya DNA amplification,quantification na kurepair DNA pia kulazimisha apoptosis katika damage cell pia kufanya transplant ya damage cell na kuzuia mutation kama ilivyo P53 na TNF (tumor necrosis factor)
 
mkuu kifaa hicho kina produce low electrical frequencies to the blood stream with a positive offset between 1kilohertz to 15 khz. this is enough to vibrate viruses and pathogens to death while supporting the nourishment of t cells
 
consciousness unajua ni nini? pia hayo uliyosema hapo juu hayapo sawa Consciousness is equal to spirit + matter na pia consciousness inaweza je kuvaa mwili ? pia consciousness nyingine ndo ipi? nafsi ndo nin? na inamilikiwa vip na nyingine

Tayari nimeshatambua uwezo wako wa kufikiri.Bado mwenzako mmoja namsubiri aje,niko tayari kuelimisha wale wanaojitambua tu,si kila mtu.
 
sawa wewe unajua maana halisi ya kujitambua nilikuuliza hukunijibu
 
unachosema ni ukweli. hiv ilikua ni mojawapo ya mbinu za marekani kupunguza idadi ya watu duniani. project hii ilianzishwa na rais kissinger ikiongozwa na dr. gallo. mpango wao ulikua ni kutengeza aina ya kirusi chenye uwezo wa kushambulia kinga ya mwili. kirusi hiki kilitengezwa kwenye maabara nchini marekani kwa kuchanganya genes za virusi viwili hatari ili kufikia ndoto ya kissinger ya kutengeza biological weapons....

1.Lengo kubwa la kubuni HIV/AIDS halikuwa kupunguza idadi ya watu,bali lilikuwa ni biashara ya kuuza dawa za ARVs cocktails.Hebu fikiria,wapunguze watu ili iweje?Huoni kwamba NATURE peke yake inatosha kupunguza idadi ya watu kwa kiasi kikubwa mno kuliko HIV/AIDS? Vita je?Vimbunga je?Matetemeko ya ardhi je?Ajali je?Magonjwa halisi mengine je?nk.

Kupunguza watu si lengo lao,hao wenyewe wakiwatumia madaktari maarufu ndio wameanzisha propaganda hii ili kujaza akili za watu uzushi huu kwamba eti HIV ametengenezwa maabara.Ukiamini kwamba HIV ametengenezwa maabara maana yake moja kwa moja utaamini kwamba HIV kweli yupo na anaua,hili ndilo lengo lao.Ukweli ni kwamba hakuna kirusi yeyote duniani mwenye uwezo wa kusababisha Ukimwi.HIV ni kiumbe HEWA,ni wa kubuni,kubuni haimaanishi kutengenezwa,kubuni ni a kufikirika,yaani hakipo kiuhalisia.Usiwape washenzi hawa uwezo huo wa hali ya juu sana wakati hawajawahi kufanya hivyo.HIV HAYUPO,kuna RETROVIRUS ambaye ndiye halisi,na ndio huyu wamempachika jina la HIV ili kumpa uwezo wa kichawi ambao hana kwamba eti anasababisha Ukimwi.

Kuwa makini kuna vitabu na documentary mbalimbali zenye lengo la ku brain wash watu kwamba HIV ni wa kutengenezwa maabara.Hivi sasa kuna suala bichi kwamba hata EBOLA VIRUS ni wa kutengenezwa,kuwa makini sana na mambo haya,unahitaji kufahamu mambo mengi sana ili kuunganisha dots.

2.Henry Kissinger hakuwa rais wa Marekani,Kissinger alikuwa secretary of state na pia alifanya kazi kama mshauri wa usalama wa Marekani katika kipindi chake kilichoanzia utawala wa Rais Nixon wakati ule.Kissinger hakuwahi kuwa rais wa Marekani.Vita mbali mbali vilivyohusisha Marekani kipindi kile vilisukwa na Kissinger,propaganda mbalimbali za ajabu na OVU yeye ndiye alizisimamia,ila hakuwa kuwa rais.
 
Back
Top Bottom