Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Nina rafiki yangu ameoa miaka mitatu iliyopita mwaka huu ndiyo anakuja kujua kuwa mke wake anaukimwi, wana mtoto mmoja. Alikuja kukuta vidonge ARV ndani kwenye bag la mke wake, kumuuliza ndiyo anamwambia kuwa yeye (mke) ni mgonjwa.
Jamaa alichanganyikiwa asijue cha kufanya, siku iliyofuata alipokuja kazini akaanza kuwambia baadhi ya wazee kazini hali aliyoikuta nyumbani, walimkalisha chini, wakiwa wanamshauri kuwa usichukue maamuzi yeyote magumu, kubaliana na hali, maisha yataenda.
Wakamwambia sasa jitayarishe kisaikolojia, twende ukapime ili aanza kutumia dawa, jamaa akakubali.
Kwenda kupima hakukutwa na maambukizi yeyote. Kutokana na hiyo hali akawashirikisha familia zote mbili, wakakubaliana yeye, mke wake na mtoto wakapime tena kujua ukweli wa hayo.
Majibu yakatoka kuwa ni mama tu ndiye mwenye maambukizi, baba na mwanaye wako safe .
Wamepima Mara kadhaa majibu ni hayo hayo.
Nawauliza madaktari na wenye elimu kuhusu hili gonjwa la ukimwi hii hali inawezekanaje?
 
Nina rafiki yangu ameoa miaka mitatu iliyopita mwaka huu ndiyo anakuja kujua kuwa mke wake anaukimwi, wana mtoto mmoja. Alikuja kukuta vidonge ARV ndani kwenye bag la mke wake, kumuuliza ndiyo anamwambia kuwa yeye (mke) ni mgonjwa.
Jamaa alichanganyikiwa asijue cha kufanya, siku iliyofuata alipokuja kazini akaanza kuwambia baadhi ya wazee kazini hali aliyoikuta nyumbani, walimkalisha chini, wakiwa wanamshauri kuwa usichukue maamuzi yeyote magumu, kubaliana na hali, maisha yataenda.
Wakamwambia sasa jitayarishe kisaikolojia, twende ukapime ili aanza kutumia dawa, jamaa akakubali.
Kwenda kupima hakukutwa na maambukizi yeyote. Kutokana na hiyo hali akawashirikisha familia zote mbili, wakakubaliana yeye, mke wake na mtoto wakapime tena kujua ukweli wa hayo.
Majibu yakatoka kuwa ni mama tu ndiye mwenye maambukizi, baba na mwanaye wako safe .
Wamepima Mara kadhaa majibu ni hayo hayo.
Nawauliza madaktari na wenye elimu kuhusu hili gonjwa la ukimwi hii hali inawezekanaje?

ngoja wakuu waje na majibu japo kua yamesha jibiwa sana tu umndani
 
Kuna ndugu yangu aliumwa homa wakampeleka hospital, wakakataa kumtibu wakasema akapime ukimwi, wakimpa dawa za maralia watamuua, sasa nikashangaa kama walimkuta na maralia kwa nn wasimtibu maralia? Au kuna maralia wa kawaida na wa ukimwi? Watufungue tujue kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu kuna mambo mengi ya kujua kabla hujafanya hivyo,tena nawashauri wengine wasijaribu kwa kuwa unatakiwa uwe unaelewa mambo fulani kwanza.Halafu suala hili sio la kuzungumza hadharani,nitakwambia kwanini,wewe utani PM.
Mimi nilishafanya hivyo na watu wako poa hadi leo,ila unahitaji kujua ARVs zinaleta athari gani mwilini baada ya kuacha na unahitaji kujua utazikabili vipi hizo athari.Watu huwa wanachanganya maeneo haya,wakiona mtu amekufa kwa sababu kaacha ARVs wanasema HIV amemuua kwa kuwa kaacha ARVs,kumbe hawajui kwamba ARVs zinasababisha DRUG INDUCED DISEASE.Atakayepinga namsubiri.Mimi mbona watu wameacha halafu bado wako poa muda mrefu sasa na hawaumwi?
Najua watasema,"hao walioacha hawana muda mrefu watakufa tu".Ha ha haaa,kasumba ni kitu kibaya sana.
Mkuu, naomba tupe elimu hii, ni kweli Kuna watu wengi wakiacha kutumia dawa wanaondoka, nini kifanyike ili mtu akiacha dawa aendelee kudunda kitaa
 
Ndio mkuu,yaani sikubakisha kitu,documentary zote zinazohusu mambo haya nimezifuatila kwa undani kabisa tena karibu mara sita sita kila moja.Hakuna documentary nilibakisha.Pia scientific papers mbalimbali nimefuatilia na nimefanya tafiti mbalimbali clinic za watu wanaotumia ARVs na nimefuatilia pia watu wanaotumia ARVs walio kwenye hatua za mwisho/yaani wenye hali mbaya zaidi kiafya.
Nikaja kuhitimisha kwamba,sisi tunauawa kwa kukosa maarifa na uelewa,kwa kweli inaniuma sana hadi leo hii baada ya kujua ukweli huu na ninadhani ipo siku walioshikiria biashara hii ya ARVs wataniua kwa kuwaelimisha watu ukweli kwa maana sina hata chembe ya uvumilivu ya kuhifadhi ukweli huu ndani ya ubongo wangu.
Tumedanganywa kuhusu ugonjwa huu kuanzia;
1.Historia yake(ni feki)
2.Hypothesis yake(ni uongo uliopindukia)
3.Vipimo vya HIV(ni feki na very misleading)
4.na Dawa zake za ARVs(hazina faida yoyote na ndio hizi hasa zinazosababisha matatizo halafu tunamsingizia HIV).
Deception....
Sasa hii ni nini?
Mbona watu wanakufa kwa huu ukimwi?
Na ukiupata unaponaje?
 
Huu uzi nimeufuatilia mwanzo mwisho kwakweli nimepata cha kujifunza,.. Ila tatizo ni kumweleza mtu akakuelewa ni jinsi ya uwakilishaji wako wa maelezo na ushahidi kama ndugu yetu Deception... Hongera sana Mungu akubariki.
 
we jamaa unaejiia Deception, ni mtu usiefaa kabisa katika jamii, kwa sababu unaleta mizaha katika mambo ya msingi na ni mpotoshaji mkubwa usiefaa kuishi. Thanks lord JF ni jukwaa la watu wachache otherwise ungepotosha wengi na kuangamiza maisha ya watu. Sijui hasa nia yako ni nini? Kwa jinsi unavyoandika makala zako inaonyesha unaufahamu kidogo, ila napata shida kujua intention yako kwa huu uongo unaoutunga! Kumbuka suala la HIV ni la kisayansi na hupaswi kuliumba kisiasa. People like you deserve to be put on a firing squad since your presence is dangerous for our society.
Wewe ni zaidi ya MPUUZI..!
Unamshambulia mtu badala ya kushambulia hoja zake(ambazo kwako ni upotoshaji) kwa kutoa hoja zako(unazoamini ndio kweli)..!
JINGA kabisa wewe..!
 
Deception anayoyazungumza ni kweli kabisa,MIMI hapa Nina miaka 23 na nimezaliwa nikiwa na HIV sijawahi kutumia ARVs na Niko vizuri na cd4 zangu ziko juu na kwa niliyoyasoma hapa haki ya mungu situmii dawa ng'oo
VIP ulipiwa ukiwa umezaliwa je ivi karibuni umepima tena uenda vipimo vilikosea
 
Si kweli.Ukiwa na nia ya kujua ukweli utajua tu.Kuna mifano mingi ipo ya watu wenye HIV na hawatumii ARVs na bado CD4 zao ziko juu,tena ni wengi hata humu wapo watu wanatoa ushuhuda.



Mimi sikubaliani kwamba HIV/AIDS is real.AIDS ndio real na hata hiyo AIDS haitishi,ukibadilisha lifestyle tu uko safi na wakati mwingine unakuwa na AIDS wewe mwenyewe hujui mpaka uumwe mfano TB ndio utagundua,lakini wakati mwingine AIDS inatoweka bila wewe kujua,ni utaratibu wa maisha tu ambao nilishazungumzia haya.
Lakini napinga mpaka mwisho wa maisha yangu kwamba hakuna AIDS inayosababishwa na HIV.HIV hana uwezo wa kushusha kinga ya mwili,nina scientific evidence na mifano hai kuthibitisha hili.Wewe umeanzia mwishoni huu uzi.

Na ndio maana nasema ili mtu aelewe ukweli kuhusu jambo hili inabidi apitie hatua zote nilizotaja mwanzoni.Halafu inabidi ajue kwamba hii ni biashara ya watu fulani,HIV/AIDS haukutokea kwa bahati mbaya,ulipangwa.Ninaposema ulipangwa sina maana HIV ametengenezwa,la hasha,bali mfumo mzima wa kutunga ugonjwa huu HEWA ndio umepangwa.

Watu hawajui;HIV ni retrovirus,retrovirus huyu amepachikwa jina hili na watu wawili tu ambao ni Robert Gallo na Luc Montaigner.Hawa ndio wamepewa hati miliki ya ugunduzi.Wamekusanya data zao wakachanganya zikawa zinatofautiana lakini pamoja na hayo wakaamua watoe jina moja la mdudu huyu HEWA ambalo ni HIV.Sasa hakuna retrovirus yoyote duniani mwenye uwezo wa kushusha kinga.

Unahitaji kujua mambo mengi sana kwa kuwa kila pembe ya ugonjwa huu feki kuna very tricky deception.Kama huelewi pembe zote hizo basi kila wakati utaendelea kujishawishi kwamba HIV/AIDS is real kila kukicha.Hwa jamaa wana akili bwana.
Mi nilipima 2015 nipo + ila nimezaliwa nao family ilikua haijanambia,2016 nikachek cd4 ziko juu Dr akanambia nichukue dawa nikagoma (nilikua bado sina elimu yoyote kuhusu hayo madawa ila nilikataa maana muoga wa dawa) nikamwambia Dr zikishuka nitakuja sasa nikawaza kama nimeweza kuishi zaidi ya miaka 20 bila mapipi yao kwanini nitumie sasa,nikichanganya na niliyosoma humu yaani labda wanizimishe halafu ndo wanipe
 
Niongezee kidogo. Niliishi na mke wangu miaka kumi. Alianza kuumwa mwaka wa nane wa ndoa yetu. Nilipuuza. Mwaka wa tisa nikaanza kupata hofu baada ya kusikia aliyekuwa mpenzi wake kabla yangu ana virus. Hatukupima hadi alipozidiwa mwaka wa kumi. Nilimpeleka hospital ambapo walimshauri apimwe na majibu yakawa +. Akafa siku iliyofuata kwa hofu.
Niliishi kama mwaka hivi nikaamua nikapimwe. Sikuamini niliambiwa sina maambukizi. Nilirudia zaidi ya mara tano kwa kubadilisha vituo lakini jibu likawa ni -
Hadi leo najiuliza imewezekanaje, sipati jibu.
 
Back
Top Bottom