Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Wagalatia hawaruhusiwi kulekWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Mkuu kwema..nakutafuta kwa pm japo naona umefungaWagalatia hawaruhusiwi kule
Yani utoke kwenye uraisi wa JMT halaf uende ukagombee kuwa raisi wa kisiwa cha Zanzibar kinachoshindwa ukubwa na Bagamoyo?!kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Kwanza kabisa, hakuna raia wa Zanzibar. Zanzibar haina uraia. Uraia ni jambo la muungano. Kuna raia wa Tanzania tu.kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Acha basi,hakuna uraia kule.Kwanza kabisa, hakuna raia wa Zanzibar. Zanzibar haina uraia. Uraia ni jambo la muungano. Kuna raia wa Tanzania tu.
Zanzibar kuna wakazi tu.
Pili, kuhusu swali lako, hakuna katazo lolote la kisheria au kikatiba kwa, kwa mfano, Samia Suluhu Hassan (mzaliwa na mkazi wa Zanzibar) akimaliza urais wake wa Tanzania kwenda kugombea na kuwa rais wa Zanzibar.
Vitambulisho vya nini?Acha basi,hakuna uraia kule.
Mbona Kuna vitambulisho mkuu.
Au siasa ndo inakuziba mdomo badala ya uharisia.
Ile ni Nchi,hivyo tusijizime DATA.
Siasa inawafanya kuwa waigizaji sio.
Jibu ni hapana. Ukishakuwa raisi wa Jamhuri ya Tanzania hutakiwi tena kuwa na mamlaka ya kiserikali ambayo itakuweka chini ya raisi alieko madarakani. Kimsingi, Raisi wa Zanzibar yuko chini ya Raisi wa Tanzania, kijeshi, kidiplomasia (mambo ya nje) nk. Raisi wa Tanzania anaweza kuwatuma polisi kumtia nguvuni raisi wa Zanzibar, au kuitisha kikao cha CCM na kumvua madarakakWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Subiria October 2025. Majibu utayapata.kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Kwani Samia mgalatia?Wagalatia hawaruhusiwi kule
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano aliyepo hai ni mmoja tuu.
Sasa mmeanza majungu naye?
Mstaafu wa pili atapatikana Oct.Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano aliyepo hai ni mmoja tuu.
Sasa mmeanza majungu naye?
Hahahahaaaa,watu wana tamaa za uongozi hawashindwi kufanya hvyoAnaweza, ila atakuwa na matatizo ya akili.
Ila ccm wahuni kweli,ccm ina uongozi mmoja tu tanzania visiwan na bara lakin kwenye mambo ya kiserikali ipo tofauti kila mtu anafanya mambo yakeJibu ni hapana. Ukishakuwa raisi wa Jamhuri ya Tanzania hutakiwi tena kuwa na mamlaka ya kiserikali ambayo itakuweka chini ya raisi alieko madarakani. Kimsingi, Raisi wa Zanzibar yuko chini ya Raisi wa Tanzania, kijeshi, kidiplomasia (mambo ya nje) nk. Raisi wa Tanzania anaweza kuwatuma polisi kumtia nguvuni raisi wa Zanzibar, au kuitisha kikao cha CCM na kumvua madaraka