Je inawezekana mtu ambae aliwahi kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenda kugombea urais huko zanzibar?

Wagumu Tunadumu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2022
Posts
5,276
Reaction score
17,354
kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.

Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
 
Yani utoke kwenye uraisi wa JMT halaf uende ukagombee kuwa raisi wa kisiwa cha Zanzibar kinachoshindwa ukubwa na Bagamoyo?!

Are you serious kweli mkuu?

Sawa sawa na baba mwenye nyumba kutaka kugombea pipi ya mtoto wako mwenyewe mkuu.
 
kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.

Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Kwanza kabisa, hakuna raia wa Zanzibar. Zanzibar haina uraia. Uraia ni jambo la muungano. Kuna raia wa Tanzania tu.

Zanzibar kuna wakazi tu.

Pili, kuhusu swali lako, hakuna katazo lolote la kisheria au kikatiba kwa, kwa mfano, Samia Suluhu Hassan (mzaliwa na mkazi wa Zanzibar) akimaliza urais wake wa Tanzania kwenda kugombea na kuwa rais wa Zanzibar.
 
Acha basi,hakuna uraia kule.
Mbona Kuna vitambulisho mkuu.
Au siasa ndo inakuziba mdomo badala ya uharisia.
Ile ni Nchi,hivyo tusijizime DATA.

Siasa inawafanya kuwa waigizaji sio.
 
Vitambulisho vya nini?

Vile ni vitambulisho vya ukazi.

Mkuu hujasoma mambo 22 ya Muungano ukajua kuwa uraia ni suala la Muungano, Zanzibar hakuna uraia kuna ukazi tu?

Yasome mambo 22 ya Muungano. Jambo la 6 ni uraia.

Wewe ndiye unaongozwa na siasa za kubumbabumba, hata katiba ya Tanzania huijui. Hata mambo ya Muungano huyajui.

kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.

Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Jibu ni hapana. Ukishakuwa raisi wa Jamhuri ya Tanzania hutakiwi tena kuwa na mamlaka ya kiserikali ambayo itakuweka chini ya raisi alieko madarakani. Kimsingi, Raisi wa Zanzibar yuko chini ya Raisi wa Tanzania, kijeshi, kidiplomasia (mambo ya nje) nk. Raisi wa Tanzania anaweza kuwatuma polisi kumtia nguvuni raisi wa Zanzibar, au kuitisha kikao cha CCM na kumvua madaraka
 
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano aliyepo hai ni mmoja tuu.

Sasa mmeanza majungu naye?
 
Jibu ni hapana. Ukishakuwa raisi wa Jamhuri ya Tanzania hutakiwi tena kuwa na mamlaka ya kiserikali ambayo itakuweka chini ya raisi alieko madarakani. Kimsingi, Raisi wa Zanzibar yuko chini ya Raisi wa Tanzania, kijeshi, kidiplomasia (mambo ya nje) nk. Raisi wa Tanzania anaweza kuwatuma polisi kumtia nguvuni raisi wa Zanzibar, au kuitisha kikao cha CCM na kumvua madaraka
Ila ccm wahuni kweli,ccm ina uongozi mmoja tu tanzania visiwan na bara lakin kwenye mambo ya kiserikali ipo tofauti kila mtu anafanya mambo yake
 
Back
Top Bottom