anti-negative energy
Senior Member
- Apr 13, 2019
- 114
- 71
Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii inakuaje na wakati wote tuna pata raha, yani iweje wote tupate raha alafu mwisho wa siku mm ndo nikupe hele
Je, vipi kama game ikibadilika, yani masela full mahandsome boys kuingia pale uanja wa fisi na kuvimba vimba. Kama wao wanavotuonesha makalio na sie tunawaonesha mambo yetu yakiumeni
Je, vipi kama game ikibadilika, yani masela full mahandsome boys kuingia pale uanja wa fisi na kuvimba vimba. Kama wao wanavotuonesha makalio na sie tunawaonesha mambo yetu yakiumeni