Je, inayosemwa kuwa ni misaada huwa inaenda Serikalini au kwa NGOs?

Je, inayosemwa kuwa ni misaada huwa inaenda Serikalini au kwa NGOs?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Watanzania tunalo swali letu muhimu la kuhoji maana Serikali inaweza singiziwa kupokea misaada ya trilions ilihali misaada hiyo ilienda kwa NGOs zinazoongozwa na walami.

Yaani fedha zinaenda kwa NGOs na zinaishia kuwalipa ma TX kutoka Ulaya halafu kinachofuata ni masimango.
 
Natamani JK awape elimu ya diplomasia.Sina hakika kishindo cha kijinga kilihitajika.
 
Wacha bangi, beberu kasema sasa wataacha kuisaidia serikali na badala yake waelekeze hizo pesa kwa vyama vinavyopigania demokrasia na NGO's, kwa kifupi serikali yetu haiaminiwi tena huko nje.

Sijui hapo huelewi kitu gani, au unajitoa akili makusudi tu.
 
Hawa jamaa si mpaka waipake serikali matope ndio wafurahie ni aina ya Sadist people tulionao wanajifanya wametoboka ubongo.

Uchaguzi ulishaisha jipangeni 2025.
 
Natamani JK awape elimu ya diplomasia.Sina hakika kishindo cha kijinga kilihitajika.
Hao walifungua mdomo tuu, wakaambiwa wanawashwawashwa.

Sasa wanaongea kimafumbo tuu, ila bwana yule ndio kabisaa as haelewi.
 
Watanzania tunalo swali letu muhimu la kuhoji maana Serikali inaweza singiziwa kupokea misaada ya trilions ilihali misaada hiyo ilienda kwa NGOs zinazoongozwa na walami.yaani fedha zinaenda kwa NGOs na zinaishia kuwalipa ma TX kutika Ulaya...halafu kinachofuata ni masimango.
Huwa inaenda kwenye ile ngo yenu pendwa isiyo hojiwa wala kujari uwepo wa sheria hats katiba.
 
Mradi zimekuja mona kwa moja kwenye nchi yetu zinaisaidia Jamiii yetu.. acheni ushabiki usio na maana yeyote.. ni kama mnadhani kupuuza kila kitu ndio jawabu
 
Watanzania tunalo swali letu muhimu la kuhoji maana Serikali inaweza singiziwa kupokea misaada ya trilions ilihali misaada hiyo ilienda kwa NGOs zinazoongozwa na walami.yaani fedha zinaenda kwa NGOs na zinaishia kuwalipa ma TX kutika Ulaya...halafu kinachofuata ni masimango.
We zuzu wa Lumumba kwanza hicho kichwa Cha habari Ni swali au sentensi ya kawaida mbona hamna alama ya kuuliza au nukta . Yaani mada zenu Lumumba zinawaonyesha mlivyo weupe kichwani . Sasa Kama hujui hela huwa zinaenda wapi? Mbona huwa mnajidai wajuaji Sana humu kumbe ma tabulalasa empty head .
 
Back
Top Bottom