Je, inayosemwa kuwa ni misaada huwa inaenda Serikalini au kwa NGOs?

Je, inayosemwa kuwa ni misaada huwa inaenda Serikalini au kwa NGOs?

Natamani JK awape elimu ya diplomasia.Sina hakika kishindo cha kijinga kilihitajika.
Diplomasia gani unataka kijana ya kusifiwa kisha unashikwa makalio alafu unalala njaa?
Kwa sasa tunataka diplomasia ya uchumi hatutaki za kuchekeana kisha unabaki mtupu
Kikwete aliwazungukia kila siku lakini wanachi tulikua tunalialia kila siku, na wengine mkawa mna andamana kila siku na kutaka kumtoa kikwete madarakani,
Sasa hiyo diplomasia mbona hukulidhika nayo kipindi hicho?
Fanyeni kazi mchangie kwenye uchumi wa nchi yenu na sio kuzoea misaada yenye dharau.
 
Ngoja tuone kesho slow atakuja na majibu gani wasisahau kumpa na notice board atupe shule jinsi zilivyotumika hela za covid
 
Diplomasia gani unataka kijana ya kusifiwa kisha unashikwa makalio alafu unalala njaa?
Kwa sasa tunataka diplomasia ya uchumi hatutaki za kuchekeana kisha unabaki mtupu
Kikwete aliwazungukia kila siku lakini wanachi tulikua tunalialia kila siku, na wengine mkawa mna andamana kila siku nabkutaka kumtoa kikwete madarakani,
Sasahiyo diplomasia mbina hukulidhika nayo kipindi hicho?
Fanyeni kazi mchangie kwenye uchumi wa nchi yenu na sibkuzoea misaada yenye dharau.

Total ban inakuja wao ni kizazi chao marufuku kusafiri nje labda rwanda pekee
 
We zuzu wa Lumumba kwanza hicho kichwa Cha habari Ni swali au sentensi ya kawaida mbona hamna alama ya kuuliza au nukta . Yaani mada zenu Lumumba zinawaonyesha mlivyo weupe kichwani . Sasa Kama hujui hela huwa zinaenda wapi? Mbona huwa mnajidai wajuaji Sana humu kumbe ma tabulalasa empty head .
Punguza hasira endelea kunisoma utaelewa
 
Tuanze kuikataa misaada ya condoms
 
Watanzania tunalo swali letu muhimu la kuhoji maana Serikali inaweza singiziwa kupokea misaada ya trilions ilihali misaada hiyo ilienda kwa NGOs zinazoongozwa na walami.

Yaani fedha zinaenda kwa NGOs na zinaishia kuwalipa ma TX kutoka Ulaya halafu kinachofuata ni masimango.
Serikali haitengi bajeti yeyote kwa idara ya ustawi wa jamii. Unajua hivyo??? Nani anatoa pesa kuwahudumia watto waishio na kufanya kazi mitaani???? We kweli jinga lao
 
Back
Top Bottom