Je, inayosemwa kuwa ni misaada huwa inaenda Serikalini au kwa NGOs?

Natamani JK awape elimu ya diplomasia.Sina hakika kishindo cha kijinga kilihitajika.
Diplomasia gani unataka kijana ya kusifiwa kisha unashikwa makalio alafu unalala njaa?
Kwa sasa tunataka diplomasia ya uchumi hatutaki za kuchekeana kisha unabaki mtupu
Kikwete aliwazungukia kila siku lakini wanachi tulikua tunalialia kila siku, na wengine mkawa mna andamana kila siku na kutaka kumtoa kikwete madarakani,
Sasa hiyo diplomasia mbona hukulidhika nayo kipindi hicho?
Fanyeni kazi mchangie kwenye uchumi wa nchi yenu na sio kuzoea misaada yenye dharau.
 
Ngoja tuone kesho slow atakuja na majibu gani wasisahau kumpa na notice board atupe shule jinsi zilivyotumika hela za covid
 

Total ban inakuja wao ni kizazi chao marufuku kusafiri nje labda rwanda pekee
 
Punguza hasira endelea kunisoma utaelewa
 
Tuanze kuikataa misaada ya condoms
 
Serikali haitengi bajeti yeyote kwa idara ya ustawi wa jamii. Unajua hivyo??? Nani anatoa pesa kuwahudumia watto waishio na kufanya kazi mitaani???? We kweli jinga lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…