Je ingekuwa kweli dunia ingekuwaje? Tafakari

Tanzania tungeogopwa kwenye jeshi la nchi kavu.
 
Wanaolima na kuuza bananas wangekiona cha moto.. This photo has been rounding in JF with new headlines everyday..
 
Je ingekuwa kweli dunia ingekuwaje? Tafakari





Je hayawani huyu kweli angepata bunduki angelipiza kisasi kwa wanaomuweka kwenye orodha ya viumbe walio kwenye hatari ya kutoweka? Je angeitumia kihayawani kama binadamu au kibinadamu kama hayawani? Je angeitumia kibinadamu japo hayawani? Je yawezekana siku moja hayawani akawa na uwezo na akili ya kumudu zana hii? Je ingekuwa kweli dunia ingekuwaje?
 
Mmh, nahisi angekuwa na busara kuliko binadamu
 

Umeandika kiswahili ngumu saana hapana elewa wewe, HAYAWANI ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…