Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je wewe unaamini ni mtu mmoja mwenye MWILI,,NAFSI NA ROHO?? KWAMBA MWILI WAKO UNAWEZA KUWEKWA PEMBENI NA NAFSI YAKO IKAWEKWA PEMBENI NA ROHO YAKO IKAWEKWA PEMBENI?? Unaamini inawezekana.??
Hueleweki
Wewe sema kama yesu ni mungu au si mungu
Na je mna miungu wangapi
 
Ina maana huwajui AL LATA,,AL UZA NA AL MANATA?? HUJAWAHI KUWASOMA POPOTE??
Sio kwamba sijawahi kuwasoma ila sijawahi kuona fundisho lolote la kiislamu linalosema hao ni mabinti wa Allah

Kama hilo andiko lipo kwenye Qur’an au hadith sahih lilete hilo andiko vinginevyo itakuwa ni porojo na propaganda tu
 
Hueleweki
Wewe sema kama yesu ni mungu au si mungu
Na je mna miungu wangapi
Nilitaka kujaribu kukupa ilim taratibu maana najua hutoweza kuelewa kirahisi,,,maana ni topic za madaraja TOFAUTI.Juu nimeshakubali kwamba YESU NI MUNGU Sasa kinachoendelea ni wewe ujue kwamba ukitaka kujua mfano WA huu uungu unayo wewe mwenyewe maalim...KWAMBA wewe ni watu watatu walio umoja..Na wote Nia na makusudi yenu watatu yanatakiwa yawe kitu kimoja..
 
Hapana mimi si watatu mimi ni mmoja tu!!!
 
Hebu tuwekee huu Mstari..Surat al Najm(sura ya nyota)53:16-21..
إِذْ يَغْشَى السِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ ﴿١٦﴾

16. Ulipoufunika mkunazi huo unachokifunika.

مَا زَاغَ الْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ ﴿١٧﴾

17. Jicho lake halikukengeuka wala halikupinduka mipaka.

لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ آيَاتِ رَبِّهِ الْكُبْرَىٰ ﴿١٨﴾

18. Kwa yakini aliona miongoni mwa Aayaat (Ishara, Dalili) za Rabb wake kubwa kabisa.

أَفَرَأَيْتُمُ اللَّاتَ وَالْعُزَّىٰ ﴿١٩﴾

19. Je, mmemwona laata na ‘uzzaa?[4]

وَمَنَاةَ الثَّالِثَةَ الْأُخْرَىٰ ﴿٢٠﴾

20. Na manaata mwengine wa tatu?

أَلَكُمُ الذَّكَرُ وَلَهُ الْأُنثَىٰ ﴿٢١﴾

21. Je, nyinyi mna wana wa kiume Naye Ana wana wa kike?[5]

تِلْكَ إِذًا قِسْمَةٌ ضِيزَىٰ ﴿٢٢﴾

22. Hiyo basi hapo ni mgawanyo wa dhulma kubwa!

إِنْ هِيَ إِلَّا أَسْمَاءٌ سَمَّيْتُمُوهَا أَنتُمْ وَآبَاؤُكُم مَّا أَنزَلَ اللَّـهُ بِهَا مِن سُلْطَانٍ ۚ إِن يَتَّبِعُونَ إِلَّا الظَّنَّ وَمَا تَهْوَى الْأَنفُسُ ۖ وَلَقَدْ جَاءَهُم مِّن رَّبِّهِمُ الْهُدَىٰ ﴿٢٣﴾

23. Hayo si chochote isipokuwa ni majina mmeyaita nyinyi na baba zenu, wala Allaah Hakuyateremshia dalili yoyote. Hawafuati isipokuwa dhana na yale yanayotamani nafsi (zao), na hali umekwishawajia kutoka kwa Rabb wao Mwongozo.

Haya ni wapi wamesema hao ni mabinti wa Allah soma vizuri!!!
 
23. Hayo si chochote isipokuwa ni majina mmeyaita nyinyi na baba zenu, wala Allaah Hakuyateremshia dalili yoyote. Hawafuati isipokuwa dhana na yale yanayotamani nafsi (zao), na hali umekwishawajia kutoka kwa Rabb wao Mwongozo.
Huu Mstari uko kwenye quran ukionyesha lawama ya kutohusika Kwa Allah dhidi ya kuyaita Hayo majina,,ina maana yamechomekwa kwenye quran yenu na makuresh?? Kama Allah kashusha quran yenu Kwa nini atoe lawama??
 
Hii tabia ya kwenda kumtafuta Mohamed kwenye Biblia yetu ambayo mna claim imechakachuliwa sio nzuri. Mohamed alikutana na kiumbe ambacho hakikuwahi kujitambulisha kwake kwamba kinaitwa nani. Mzee waraq na Hadija ndiyi walikuja na hilo jina, kile kiumbe kika stick nalo☺️.

Yohana 14 Yesu anasema atamuomba baba yake, Allah hana mwana . Yesu anasema atakuwa nanyi milele, Mohamed alikufa!! Wewe unakubali kwamba Yesu ni mwana wa Mungu? Astaghfulilah!!!
 
Hao Wana wa kike alio nao ni wapi??
21. Je, nyinyi mna wana wa kiume Naye Ana wana wa kike?[5]
Sasa wewe umeshindwa kujua kwamba hilo ni swali na si mmaelezo.Ni swali la mtego kwa washirikina ambao walikuwa wakisema Allah ana watoto

Halafu soma hii aya
23. Hayo si chochote isipokuwa ni majina mmeyaita nyinyi na baba zenu, wala Allaah Hakuyateremshia dalili yoyote. Hawafuati isipokuwa dhana na yale yanayotamani nafsi (zao), na hali umekwishawajia kutoka kwa Rabb wao Mwongozo.

Hapo amekanusha suala hilo
Lete aya inayosema Allah ana watoto
 
Huu Mstari uko kwenye quran ukionyesha lawama ya kutohusika Kwa Allah dhidi ya kuyaita Hayo majina,,ina maana yamechomekwa kwenye quran yenu na makuresh?? Kama Allah kashusha quran yenu Kwa nini atoe lawama??
Hapo Allah anasema kuwa hayo ni majina makureshi waliyatunga na kusema ni watoto wa Allah

Acha propaganda sema mna miungu wangapi?
 
Hapo Allah anasema kuwa hayo ni majina makureshi waliyatunga na kusema ni watoto wa Allah

Acha propaganda sema mna miungu wangapi?
Tatizo kubwa hujaielewa hio Aya...Isome Kwa kutulia,,,tafuta anaeweza kukutafsria ili uielewe Kwa uzuri...USIWE na papara...Tatizo lako nimeliona SOMA UELEWE...Tafuta kuelewa...

Wabilah Taufiq...
 
Tatizo kubwa hujaielewa hio Aya...Isome Kwa kutulia,,,tafuta anaeweza kukutafsria ili uielewe Kwa uzuri...USIWE na papara...Tatizo lako nimeliona SOMA UELEWE...Tafuta kuelewa...

Wabilah Taufiq...
Wewe ndo unapaswa uisome hiyo aya kwa kutulia na sio mimi maana huelewi maana ya maelezo na swali.

Au nikuulize kuna muislam anasema kuwa Allah ana watoto na watoto hao ni miungu pamoja nae kama mnavyosema nyinyi kuwa Mungu ana mtoto ambaye pia ni mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…