Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Biblia usiisome kama Gazeti ,twende taratibu.....

Kwanza hoja zako hazielewi muktadha kamili wa maandiko. Yesu alikufa, alifufuka, na alijitambulisha wazi kwa wafuasi wake.

Nitaanza na hoja zako moja moja

👇👇👇👇👇👇👇
1. Hoja: Maiti Sio Ya Yesu

Biblia Inaposema Maria aliona malaika wawili, mmoja kichwani na mwingine miguuni, haimaanishi kuwa maiti haikuwa ya Yesu.

Kulingana na Yohana 20:12-13, malaika wawili walikuwa wanakalia sehemu za mwili wa Yesu, lakini Maria alikuwa akilia kwa sababu alijua Yesu alikuwa amekufa na alikuwa akijua kuwa mwili wake ulikuwa umeibwa.

Malaika walimwambia kwa huruma:

"Mama, unalia kwa nini?"

Hii ni kuonyesha kuwa, hata ingawa aliona malaika, bado alikuwa na huzuni kwa sababu ya kile kilichotokea kwa Yesu. Hivyo, maiti ilikuwa ya Yesu, lakini alifufuka kutoka kwa wafu.

👇👇👇👇👇👇👇
2. Hoja: Maria Alijua Maiti Hakuwa Yesu

Maria aliona Yesu akisimama mbele yake lakini hakumtambuwa mara moja, kwa sababu Yesu alijificha kidogo kiroho kwa wakati huo.

Yohana 20:14-16 inasema kuwa aligeuka na kumwona Yesu, lakini alikosea kumtambulisha kama mchungaji. Hii haimanishi kuwa maiti haikuwa ya Yesu, bali ilidhihirisha kuwa Yesu alifufuka akiwa na mwili wa kimwili lakini bado alijificha kidogo kutoka kwa Maria ili kumfundisha kuwa alikuwa amefufuka. Alipotamka jina lake, Maria alimtambua kwa haraka.

Hii inaonyesha kuwa Yesu alifufuka na aliishi kwa mwili kamili.

👇👇👇👇👇👇👇👇
3. Hoja: Yesu Hakufa

Katika Biblia, kifo cha Yesu ni jambo la msingi la imani ya Kikristo. Mathayo 27:50 inasema, "Yesu akapiga makelele kwa sauti kuu, akatoa roho yake."

Hii ni thibitisho kuwa Yesu alikufa kifo cha kimwili kabla ya kufufuka. Maandiko haya yanatuambia wazi kwamba Yesu alikufa, na kifo chake kilikuwa dhabihu kwa ajili ya dhambi za ulimwengu. Baada ya kifo chake, alifufuka kwa nguvu za Mungu kama ilivyosema 1 Wakorintho 15:4

👇👇👇👇👇👇👇👇👇
4. Hoja: Yesu Hakufufuka

Yesu alifufuka kama ilivyotabiriwa na maandiko. Mathayo 28:5-7 inasema, "Malaika akajibu akawaambia wanawake, 'Ninyi msiogope; kwa maana najua ya kuwa mna tafuta Yesu, aliye msulubiwa. Hakupo hapa, kwani amefufuka kama alivyosema.'" Hii ni thibitisho kuwa Yesu alifufuka kwa njia ya kimungu, na wala si kwamba maiti aliyekutwa haikuwa yake. Wengi walimwona Yesu baada ya kufufuka, na alielezea wazi kuwa yeye ndiye aliyekuwa amekufa na sasa alikuwa hai.
 
Dah jaman jaman wakristo mpaka hii pia huelewi kuwa YESU HAKUTAKA KUFA KABISA, kulalamika kote na kuomba KIKOMBE KILE CHA KUFA KIMUEPUKE, bado mnalazimisha kuwa YESU ALITAKA KUFA KWA HIARI KWELI,
Tafadharini tulizeni akili na msome Kwa utulivu mbona vitu vinaeleweka, YAAN YESU ATAKE KUFA KWA HIARI AFU ALALAMIKE KIASI HIKI NA MAOMBI JUU TENA NA KUSUJUDU ALISUJUDU KUMUOMBA MUNGU WAKE ASIFE ,alafu unakuja kudanganya kitu Kiko wazi mkuu
AAAH MKUU SIO SAWA KUWA MUONGO
 
Kama hubagui, hii Yohana 3:16 hujaielewa au HUITAKI tu?
Ndiyo Yesu Alikubaliwa Dua Yake ,alisikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu, lakini "kusikilizwa" hakumaanishi aliepuka kifo, bali alifufuliwa.

Dua yake haikuwa ya kuomba asiende msalabani kabisa, bali alitaka mapenzi ya Mungu yatimizwe,USISOME BIBLIA KIMSIKITISIKITI,

. Hili linathibitishwa na Luka 22:42 aliposema:

"Baba, ikiwa wapenda, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatimizwe."

Yesu ALIKUFA na ushahidi huu hapa ,

Au haya maandiko huyataki?

maana maandiko mengi yanathibitisha kuwa Yesu alikufa:

Mathayo 27:50 – "Yesu akapaza sauti tena kwa nguvu, akakata roho."

Marko 15:37 – "Lakini Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho."

Yohana 19:30 – "Basi Yesu alipokuwa amekitwaa ule siki, akasema, ‘Imekwisha.’ Akainamisha kichwa, akakata roho."

HAYO MAANDIKO 👆👆👆HUYATAKI ?NAOMBA JIBU
 
TUKUSIKILIZE WEWE AU MAANDIKO HAYA ???

Yesu ALIKUFA na ushahidi huu hapa ,

Au haya maandiko huyataki?

maana maandiko mengi yanathibitisha kuwa Yesu alikufa:

Mathayo 27:50 – "Yesu akapaza sauti tena kwa nguvu, akakata roho."

Marko 15:37 – "Lakini Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho."

Yohana 19:30 – "Basi Yesu alipokuwa amekitwaa ule siki, akasema, ‘Imekwisha.’ Akainamisha kichwa, akakata roho."

HAYO MAANDIKO 👆👆👆HUYATAKI ?NAOMBA JIBU
 
Kama hubagui, hii Yohana 3:16 hujaielewa au HUITAKI tu?
Ukitaka nijibu huku inamaana umekubali yesu hakufa wala hakutaka kufa
Kila mtu atabeba zambi zake na kubwa

MUNGU MMOJA TU na yesu si mungu
Kwa kuwa umeshindwa kithibitisha na ukitaka kujua SIPINDISHI MANENO NATUMIA BIBLIA YENU HIYO HIYO AMBAYO INA MAPUNGUFU YOTE
 
🤣🤣🤣🤣Eti biblia Ina mapungufu

Naona hoja umezishindwa ,nimejibu uzushi wote

Umekimbilia biblia Ina mapungufu, sema hivi UNAPINDISHA MAANDIKO YAENDANE NA UJINGA WA MUHAMMAD

HUU UPOTOSHAJI WOTE TUMEUWEKA WAZI HAPA
 
Hapa hakuna ushahidi huyu alikuwa simion na sio yesu, simion alietoka mashamban ndio alibebeshwa msalaba na sio yesu.
Biblia imeeleza kuanzia kumkamata simion ,kwenda Golgotha mpaka kuwatundika watu watatu AMBAPO KATIKA WALE WATATU HAKUKUWA NA YESU PALE
 
MANABII WOTE WALITABIRI KUFA NA KUFUFUKA KWA YESU ,

NA UTIMILIFU ULITOKEA

LEO MNATAKA TUAMINI POROJO ZENU ?

YAANI TUACHE KUAMINI MAANDIKO HAYA YA TORATI, ZABURI NA MANABII ,TUWAAMINI NYIE ?

1. Unabii: Masihi Atateswa na Kufa

Isaya 53:5-7
"Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu; adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona... Alionewa, lakini alinyenyekea, wala hakufunua kinywa chake; kama mwana-kondoo aendaye machinjoni, na kama vile kondoo anyamazavyo mbele yao wamkatayo manyoya, naam, hakufunua kinywa chake."

✅ Utimilifu: Mathayo 27:26-31

Yesu alipigwa mijeledi na kuteswa kabla ya kusulubiwa, akitimiza unabii wa Isaya.

2. Unabii: Masihi Atakufa kwa Ajili ya Wengine

Danieli 9:26
"Na baada ya hizo juma sitini na mbili, Masihi atakatiliwa mbali, wala si kwa ajili yake mwenyewe..."

✅ Utimilifu: Yohana 11:50-51

Kuhani mkuu Kayafa alitabiri kuwa ni heri mtu mmoja afe kwa ajili ya taifa zima, jambo lililotimia Yesu alipokufa kwa ajili ya wanadamu wote.

3. Unabii: Yesu Atazikwa Kwenye Kaburi la Tajiri

Isaya 53:9
"Wakamfanya kaburi lake pamoja na wabaya, na pamoja na matajiri katika kufa kwake; ingawa hakutenda dhuluma, wala hila haikuwapo kinywani mwake."

✅ Utimilifu: Mathayo 27:57-60

Yesu alizikwa katika kaburi la Yusufu wa Arimathaya, mtu tajiri.

4. Unabii: Yesu Atakufa Lakini Mifupa Yake Haitavunjwa

Zaburi 34:20
"Hulinda mifupa yake yote, hapana moja wapo itakayovunjika."

✅ Utimilifu: Yohana 19:33-36

Askari hawakuvunja mifupa ya Yesu, tofauti na walivyofanya kwa waliokuwa wamesulubiwa naye, kutimiza unabii huu.

5. Unabii: Yesu Atakufa na Kufufuka

Zaburi 16:10
"Kwa maana hutaniacha katika kuzimu, wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu."

✅ Utimilifu: Matendo 2:31

Petro alieleza kuwa unabii huu ulitimia Yesu alipofufuka kutoka kwa wafu.

6. Unabii: Yesu Atakaa Kulia Kwa Mungu Baada ya Kufufuka

Zaburi 110:1
"Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hata niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako."

✅ Utimilifu: Marko 16:19

Yesu alipaa mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu Baba.
 
TUACHE KUAMINI ZABURI, TORATI NA MANABII WA MUNGU ,TUKUAMINI WEWE NA TAPELI MUHAMMAD?

NI MJINGA PEKEE ANAWEZA KUPOTEZWA KWA HIZO PROPAGANDA ZENU, UZURI NAWAJUA NIMEKUWA MUISLAMU WA KUZALIWA ,

1. Unabii: Masihi Atateswa na Kufa

Isaya 53:5-7
"Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, alichubuliwa kwa maovu yetu; adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona... Alionewa, lakini alinyenyekea, wala hakufunua kinywa chake; kama mwana-kondoo aendaye machinjoni, na kama vile kondoo anyamazavyo mbele yao wamkatayo manyoya, naam, hakufunua kinywa chake."

✅ Utimilifu: Mathayo 27:26-31

Yesu alipigwa mijeledi na kuteswa kabla ya kusulubiwa, akitimiza unabii wa Isaya.

2. Unabii: Masihi Atakufa kwa Ajili ya Wengine

Danieli 9:26
"Na baada ya hizo juma sitini na mbili, Masihi atakatiliwa mbali, wala si kwa ajili yake mwenyewe..."

✅ Utimilifu: Yohana 11:50-51

Kuhani mkuu Kayafa alitabiri kuwa ni heri mtu mmoja afe kwa ajili ya taifa zima, jambo lililotimia Yesu alipokufa kwa ajili ya wanadamu wote.

3. Unabii: Yesu Atazikwa Kwenye Kaburi la Tajiri

Isaya 53:9
"Wakamfanya kaburi lake pamoja na wabaya, na pamoja na matajiri katika kufa kwake; ingawa hakutenda dhuluma, wala hila haikuwapo kinywani mwake."

✅ Utimilifu: Mathayo 27:57-60

Yesu alizikwa katika kaburi la Yusufu wa Arimathaya, mtu tajiri.

4. Unabii: Yesu Atakufa Lakini Mifupa Yake Haitavunjwa

Zaburi 34:20
"Hulinda mifupa yake yote, hapana moja wapo itakayovunjika."

✅ Utimilifu: Yohana 19:33-36

Askari hawakuvunja mifupa ya Yesu, tofauti na walivyofanya kwa waliokuwa wamesulubiwa naye, kutimiza unabii huu.

5. Unabii: Yesu Atakufa na Kufufuka

Zaburi 16:10
"Kwa maana hutaniacha katika kuzimu, wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu."

✅ Utimilifu: Matendo 2:31

Petro alieleza kuwa unabii huu ulitimia Yesu alipofufuka kutoka kwa wafu.

6. Unabii: Yesu Atakaa Kulia Kwa Mungu Baada ya Kufufuka

Zaburi 110:1
"Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hata niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako."

✅ Utimilifu: Marko 16:19

Yesu alipaa mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu Baba.

Ni mpumbavu pekee aache KUAMINI MAANDIKO HAYA akuamini wewe na Muhammad
 
🤣🤣🤣🤣Eti biblia Ina mapungufu

Naona hoja umezishindwa ,nimejibu uzushi wote

Umekimbilia biblia Ina mapungufu, sema hivi UNAPINDISHA MAANDIKO YAENDANE NA UJINGA WA MUHAMMAD

HUU UPOTOSHAJI WOTE TUMEUWEKA WAZI HAPA
Asee kuongea na wakristo inafurahisha kabisa ,KITU KINAELEWEKA LAKINI WANAPINDISHA KABISA AFU MTU UNAONA ,
Hapo TU ktk YOHANA 20 11 -17 nimeamua basi niende Kwa hatua pasipo kuongeza na kupindisha MANENO lakini unajaribu kuuma MANENO na kujichekesha
 
Sijasema uniamini Mimi Bali nimekuomba utulivu mkubwa kusoma biblia na uielewe, wala usilete uongo na kujiongezea maandiko ikiwa ya mwanzo yamekushinda kujibu.
NAAMINI WENYE KUTAKA KUELEWA NA WATAELEWA ILA WASIOTAKA BASI
 
NIMEJIBU YOTE ,HATA MIMI WENYE AKILI WATAELEWA NA WATAKUWA WAMEONA PROPAGANDA ZENU ZILIVYO ZA KITOTO
 
Sijasema uniamini Mimi Bali nimekuomba utulivu mkubwa kusoma biblia na uielewe, wala usilete uongo na kujiongezea maandiko ikiwa ya mwanzo yamekushinda kujibu.
NAAMINI WENYE KUTAKA KUELEWA NA WATAELEWA ILA WASIOTAKA BASI
NIMEJIBU maswali yote ,ulianza propaganda ya muda ikafa kifo cha mende

Na hakuna atakayewaamini nyie asimwamini Mungu na manabii wake

Yaani mtu na akili timamu aje aamini uzushi uliokuja miaka 600 baada ya Yesu
 
Asee kuongea na wakristo inafurahisha kabisa ,KITU KINAELEWEKA LAKINI WANAPINDISHA KABISA AFU MTU UNAONA ,
Hapo TU ktk YOHANA 20 11 -17 nimeamua basi niende Kwa hatua pasipo kuongeza na kupindisha MANENO lakini unajaribu kuuma MANENO na kujichekesha
NILIKUONYA TOKA AWALI USISOME BIBLIA KIMSIKITISIKITI,NILIKUWA NA MAANA KUBWA SANA MAANA MIMI NIMEKUWA MUISLAMU NAIJUA HII MICHEZO YENU ,

MKRISTO ASIYESOMA MAANDIKO NDIO ATASHINDWA KUWASHTUKIA

MIMI NITAITUMIA HIYO YOH 20:11-17 KUKUHOJI MASWALI FIKIRISHI

1. Kwa nini Maria Magdalene alilia juu ya kaburi la Yesu ikiwa hakuwa amekufa?
(Yohana 20:11 inasema Maria alikuwa analia kwa sababu mwili wa Yesu ulikuwa haupo, akimaanisha alikufa na kuzikwa.)

2. Kwa nini Yesu alimwambia Maria Magdalene "Usinishike, kwa maana sijapanda bado kwa Baba yangu" (Yohana 20:17), ikiwa hakuwa amekufa na kufufuka?
(Hili linaonesha kwamba Yesu alikuwa na mwili wa utukufu baada ya kufufuka, tofauti na mwili wa kawaida wa kibinadamu.)

3. Kwa nini Yesu alikuwa amezikwa katika kaburi ikiwa hakuwa amekufa?
(Tukirudi nyuma kidogo, Yohana 19:38-42 inaeleza jinsi Yesu alivyofunikwa na sanda na kuwekwa kaburini, jambo ambalo halifanywi kwa mtu hai.)

4. Kwa nini malaika walioketi kaburini walimwambia Maria kwamba Yesu "amefufuka," ikiwa hakuwa amekufa?
(Yohana 20:12-13 inaeleza jinsi malaika walivyomwambia Maria kwamba Yesu hayuko pale, kwa sababu amefufuka, jambo linalothibitisha alikuwa amekufa kabla ya hapo.)

5. Kwa nini Yesu alimtokea Maria Magdalene akiwa na mwili tofauti na hakutambulika mara moja, ikiwa hakuwa amekufa?
(Katika Yohana 20:14-16, Maria hakumtambua Yesu mara moja, jambo linaloashiria kuwa mwili wake ulikuwa wa kiroho baada ya kufufuka, tofauti na mwili wake wa kawaida wa kabla ya kifo.)

NAOMBA UJIBU HAYO MASWALI
 
Kimeshushwa na Ungo,Ndege au??
Mwenyezi Mungu ana njia zake za kufikisha ujumbe, mwenyewe kuongea na mhusika kama musa na ibrahim,kutuma malaika kama muhammad na maryam,au ilham(intuition),ndoto, ibrahim na kikule na benzine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…