GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anawazuga kwa Kuwadanganya Mashabiki Oya Oya ( Mbumbumbu ) wengi wa Yanga SC kuwa amewasajilia Beki Shabaan Djuma wa AS Vita na Kumrejesha Herritier Makombo na kwamba amemalizana na Mchezaji mwingine wa Afrika Kusini ( kutokea Kaizer Chiefs ) wakati ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa kwa mujibu wa Afisa Habari wao ( Yanga SC ) Hassan Bumbuli Yanga SC haijafanya Usajili wowote ule.Kashawaeleza Sababu Za Kombe Kuyeyukia Msimbazi Mwaka huu....!
amezpindua akiwa kama mume wakoNikiwaboa na mkichukia ndiyo nafurahi.
HayakuhusuDkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
Uto lazima tuwabonyeze tu usilie.Mashabiki ya utelembwe huku mtaani kwetu yanaitwa VIJAMBIO ( Mikund.u ) si unaona huyu jamaa na thread zake nyng huwa ni pumba tu kijambio huyu
Na nyie mnaitwa bong'oa FCMashabiki ya utelembwe huku mtaani kwetu yanaitwa VIJAMBIO ( Mikund.u ) si unaona huyu jamaa na thread zake nyng huwa ni pumba tu kijambio huyu
Wanachoweza ni kuzomea zomea na kutukana tu.Utopolo jibuni swali na sio kutukana.Hakika luc hakukosea, kwa jinsi mnavyoporomosha matusi ni rahisi kujua ni watu wa aina gani.
Hela inatoa club au nani?Na hivi karibuni utashuhudia mabasi mengine Sunlong bus, Zhongtong Climber bus.
Ujinga, Ujinga tu ambao umekutawala, hajui Uwekezaji wala Ufadhili wala Mikataba wala Makubaliano ndani ya hivi Vilabu.Hela inatoa club au nani?
Hapo ni sawa na kusema subiri shemeji yangu ataninunulia IST aliniambia jana mitaa ya saa tisa usiku alipotoka chumbani kwake.Yaani mshaanza mpaka kumpangia mtu hela yake.
😂Ujinga, Ujinga tu ambao umekutawala, hajui Uwekezaji wala Ufadhili wala Mikataba wala Makubaliano ndani ya hivi Vilabu.
Hivi Engineer Hersi akinunua Basi kwaYanga utatoa mfano potofu wa shemeji..?
Mbona Juzi tu hapa demigod amejitapa kuwa Yanga SC imeipiku Simba SC kwa dau la mchezaji Djuma Shaban, sasa hapo hela ya Klabu au Engineer ametoa?
Lakini hatuwashangai maana hata Simba Mo Arena mnasema uwanja wa MO kwa hivyo endeleeni hivyo hivyo mkikua mtaacha huu Ujinga.
Kama nyie mlivoitwa mbumbu na Aden RageUtopolo jibuni swali na sio kutukana.Hakika luc hakukosea, kwa jinsi mnavyoporomosha matusi ni rahisi kujua ni watu wa aina gani.