tzhosts
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 403
- 510
Katika zama hizi za tehama ambapo uwezo wa kufikia maudhui kwa njia ya mtandao ni ya muhimu,Mifumo ya uhifadhi ufikiaji wa taarifa za wavuti ni mifumo muhimu sana.Mifumo hii huitwa Web Servers-Mifumo ambayo huwezesha Browser kama Chrome kuweza kufikia maudhui yaliyoko katika tovuti mbalimbali.
Kwa miaka mingi nilikuwa nikitumia Managed Server kwa ajili ya kuweka maudhui na data mbalimbali wa ajili ya Tovuti ni mifumo mbalimbali kwa ajili yangu na wateja wangu.Hata hivyo kutoka na mahitaji ili ni bidi nianze sasa kuanza kutumia Servers ambazo ninazisimimami mwenyewe au zinasimamiwa na wateja wangu.
Sikuwa Mgeni kwenye Server kwani Mimi ni Mtumiajea wa Mifumo ya Linux server kwa zaidi ya Miaka 10 na kwamba nimekuwa nikitumia na kusimamia Webserver systems za aina tofauti tofauti.
Moja kati ya changamoto ambazo huwa ninakutana nazo katika usimamizi wa webserver systems ni kuamua nitumie mfumo gani kati ya mifumo ya webserver ya Apache au nitumi ngnix.Ni ukweli kwamba apacheina umaarufu wake lakini ni ukweli pia ngnix ina upekee wake.Natambua kwamba ipo mifumo mengine ya webserver tofauti na hii miwili ingawa katika ufanyaji wa shughuli zangu sijawahi kuitumia kwa sana ispokuwa tu katika kujifunza
Lengo la mjadala huu ni kutaka tujadili faida na hasara baina ya mifumo hii miwili ya Apache na NGNIX na mambo ya kuzingatia katika kuhakikusha Usalama,na Ubora wa Tvuti yako
Karibuni Tujadili na kujifunza pamoja nami