Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua Zuleykha, huwezi andika kila kitu kwa kilefu. Tunaandika Bw. Bi. Dr. Mh. hii yote ni kufupisha. Njia nyingine kama vyoo hawandiki hata Ke wala Me bali kuna picha ya kike na ya kiume na choo ambayo watoto wanabadilishwa unaona picha ya kitoto kwenye kitanda cha kubadilishia. Ukienda kwa kizungu wenyewe wanatumia F na M badala ya kurefusha maneno hayo. Ni mitindo tu ambayo baadaye imekuwa kama kanuni ili kuokoa muda na space.Sasa Niah
Pale unapokuta pameandikwa ke kama kifupi inakuwa inamaanisha nini kwa maana mwanaume na wakiume vyote vyaishia na me mmmhh ...Ikoje hapo Niah wangu
We nawe nisepe kwani kichwa kimeishiwa. Za mchana.hapo niah hawezi jibu atakwepa
Kwa hiyo Niah utakubali kuitwa wakike au utakubali kuitwa mwanamke?Unajua Zuleykha, huwezi andika kila kitu kwa kilefu. Tunaandika Bw. Bi. Dr. Mh. hii yote ni kufupisha. Njia nyingine kama vyoo hawandiki hata Ke wala Me bali kuna picha ya kike na ya kiume na choo ambayo watoto wanabadilishwa unaona picha ya kitoto kwenye kitanda cha kubadilishia. Ukienda kwa kizungu wenyewe wanatumia F na M badala ya kurefusha maneno hayo. Ni mitindo tu ambayo baadaye imekuwa kama kanuni ili kuokoa muda na space.
Na mwanao utamwita mtoto wa kike au mwanamke?Unajua Zuleykha, huwezi andika kila kitu kwa kilefu. Tunaandika Bw. Bi. Dr. Mh. hii yote ni kufupisha. Njia nyingine kama vyoo hawandiki hata Ke wala Me bali kuna picha ya kike na ya kiume na choo ambayo watoto wanabadilishwa unaona picha ya kitoto kwenye kitanda cha kubadilishia. Ukienda kwa kizungu wenyewe wanatumia F na M badala ya kurefusha maneno hayo. Ni mitindo tu ambayo baadaye imekuwa kama kanuni ili kuokoa muda na space.
Mimi bibi lakini nilipokuwa kigori au mdogo ningetaka siyo kupenda niitwe msichana au mtoto wa kike. Baada ya kuolewa ukiniita wa kike ni tusi unaniangalia halafu unasema mwanamke wewe hujambo ambavyo navyo si safi tuna lugha ya haiba ya kuita. Bibie hujambo, mama, mama fulani. Ukisikia mtu anaita wewe mwanamke ujue ni shari. It is too formal. Isimu/stylistics and syntax ni masomo magumu sana ndiyo maana watu wengi huwa wanayakwepa wanapofika mbele.Kwa hiyo Niah utakubali kuitwa wakike au utakubali kuitwa mwanamke?
We mwana we! Mwanangu tena nimuite mwanamke. Nikiulizwa mwanangu jinsia gani nasema YA kike meaning sisemi mwanamke. Huulizwi una wanawake na wanaume wangapi bali una watoto wangapi wakike na wakiume? Note the difference. Bwana naenda kupika iliza nikiwahi nitasoma. Saa za msosi hapa kwangu.Na mwanao utamwita mtoto wa kike au mwanamke?
Usilazimishe we...Lakini silinagawanyika Boss
Kazaliwa mtoto wa kike ndo sahihi
mwanamke ni yule alievunja ungo....na kuwajua wanaume
kabla ya hapo unakuwa mtoto wa kike halafu unakuwa msichana
ukishabikiriwa ndo unakuwa mwanamke
ndo maana wanasema 'amemuondoa usichana wake'