teh,teh teee hhee..... dunia imekwisha
kiswahili hiki ni noma!!
Jibu sahihi ni
Msichana ana mimba. hayo mengine katiwa,kabebeshwa, kapewa achana nayo.
Kutia - kuweka ndani mf. kutia maji mtungini,kutia mafuta kwenye tenki la gari nk.
Kuweka - hifadhi mahali fulani,kitendo cha pokea toa.
Bebesha - mtu kumpa mwingine kitu kinachoonekana mf.nibebeshe mtoto -maanake ni kumbebesha mgongoni au bebeshe ndo kichwani n.k