Je, Ipi Sahihi?

Je, Ipi Sahihi?

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Ngugu wana JF nawatakieni weekendi njema, lakini ningeomba nisahihishwe katika haya;

a) Msichana hupewa mimba
b) Msichana hubebeshwa mimba
c) Msichana hutiwa mimba
 
Ni kitendo cha kuweka kitu ndani, yaani ni kwa kutiwa.

-tia, tendo la kuweka kitu ndani ya kingine. mfano: kijana alikuwa ametia mikono mfukoni. Huwezi kusema kijana alikuwa ameweka mikono mfukoni
 
teh,teh teee hhee..... dunia imekwisha
kiswahili hiki ni noma!!

Jibu sahihi ni
Msichana ana mimba. hayo mengine katiwa,kabebeshwa, kapewa achana nayo.
Kutia - kuweka ndani mf. kutia maji mtungini,kutia mafuta kwenye tenki la gari nk.
Kuweka - hifadhi mahali fulani,kitendo cha pokea toa.
Bebesha - mtu kumpa mwingine kitu kinachoonekana mf.nibebeshe mtoto -maanake ni kumbebesha mgongoni au bebeshe ndo kichwani n.k
 
sahihi ni
msichana kabeba mimba..
msichana kanasa mimba..
msichana kapachikwa mimba......
 
Back
Top Bottom