Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Michelle mie bado hainiingii akilini what are you missing there? It means part of u is still there na kama upo na mtu mwingine do u still claim that u love him/her with all ur heart au unamwambiaje?Chukua mfano huu upo na new boy/girl then unasikia anaonge kwenye simu na EX wake kwamba amemmiss how does it feel?
nafikiri kuna tofauti ya kum-miss mtu na kutaka kuwa nae au kutamani kurudiana nae.....i miss all of my bfs for different reasons and sina mpango wa kurudiana nao hata mmoja but tunaongea sana na kukutana na kila mmoja anaheshimu maamuzi ya mwenzie.....tatizo ni pale unapotaka kuwa nae tena.....na huku una mwingine.....si lazima nikim miss mtu niwe nampenda kuliko niliye nae sasa....mfano,hapo nyuma nilikuwa na bf anapenda soccer na sasa niliye nae hajui wala hataki kujua soccer na kunipa company wakati wa kuangalia....definately nitamkumbuka wa zamani,ila hilo halimaanishi simpendi wa sasa.....thats my point