Je,Is it unfair to miss your Ex?


nafikiri kuna tofauti ya kum-miss mtu na kutaka kuwa nae au kutamani kurudiana nae.....i miss all of my bfs for different reasons and sina mpango wa kurudiana nao hata mmoja but tunaongea sana na kukutana na kila mmoja anaheshimu maamuzi ya mwenzie.....tatizo ni pale unapotaka kuwa nae tena.....na huku una mwingine.....si lazima nikim miss mtu niwe nampenda kuliko niliye nae sasa....mfano,hapo nyuma nilikuwa na bf anapenda soccer na sasa niliye nae hajui wala hataki kujua soccer na kunipa company wakati wa kuangalia....definately nitamkumbuka wa zamani,ila hilo halimaanishi simpendi wa sasa.....thats my point
 
Kummiss mtu si dhambi so far! Na nilipata kusikia masimulizi kwamba km unayemwita EX mlishibana vilivyo ila upeke peke wako ukasababisha mtengane kuna hatari ya kurudiana uzeeni
 
Kummiss mtu si dhambi so far! Na nilipata kusikia masimulizi kwamba km unayemwita EX mlishibana vilivyo ila upeke peke wako ukasababisha mtengane kuna hatari ya kurudiana uzeeni

uzeeni mbali sana hata huku huku between mnaweza mkakumbushana, unless otherwiz unamsimamo na mpenzi wako wa sasa.
kuna wangu wa zamani sana ila kwa sasa ameolewa baada ya kutengana kwa muda last month akanicall akanikumbushia stail fulani hivi niliipata kwake na sijaipata tena kwa msichana mwingine akaniambia "vp unaipata kwa huyo mchuchu wako au nije nikupe kidogo" kwa haraka nilitamani sana badae nikakukmbuka siyo vema ameolewa na mimi nina mwingine nikaheshimu ndoa yake na mimi kwa mpenzi wangu. ila yuko so free na social anavonichukulia any time nikitaka mzigo napata.
 

mmmmmhhhhhhh Dr wa ukweli......!!! napita tu hapa!!
 
Firstlady Usinishambulie,he he heee...I beg

On a serious contribution now!!


I guess people miss their exes in different ways. As for me, having dated almost 6 girls in my whole entire life, I can only make mention of two gurls that I sometimes miss, not missing them like having to take them back, but these two girls actually made an impact in my relationship life.

We go and fall out of a relationship( non-intentional) to learn more for the future, these two girls taught me part of what relationship ups and downs was all about. The first girl,Kenyan girl to be precise( first love) Was the first person to break my heart into a million pieces, and then remoulded it back, from that relationship, I learnt how to cope with heartbreaks and how to handle my ego when its necessarily due.

The second girl, Zambian girl to be precise, taught me alot about what a potential fiance could be, she gave me alot of inspiration, music-wise, I felt I landed in a different level of relationship, she showcases this kind of matured kind of relationship whereas I was 3 years older than her, in fact she was the first girl I ever talked about getting married to. In essence to my long story, when I think about the positive impact that these girls have made in my relationship life, I always miss them and I always bless the name of the lord for them, because I have learnt alot and I am implementing the lessons learnt into my former/present relationships.

However,besides all these,those galz play the role of a mentor,for i can handle any relationship with ups and downs with anybody.Sometimes we use to call each other,chit-chat etc.But most importantly what i learned ni kuwa kwenye kuachana au breakups tujitahidi sana ziwe in diplomatic way,there is life after Relationships/breakups...cheers!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…