Je Israel wana hitami kupata Ndege-vita ya kimkakati B-2.?

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Je Israel wanataka Ndege vita za kimkakati B-2?

Netanyahu: Bila shaka tungependa kuwa nao! Lakini tunashukuru msaada wote tunaopokea kutoka Amerika.
 
Hii dege aliuzwi kwa ajili ya usalama wa marekani tu na wanaendelea kuiboresha tambua inauwezo wa kubeba hadi nyuklia ndio ndege hazina wanaogopa kuvujisha siri iliyopo ndani ya hiyo ndege
ndege ambazo zinauzwa kwa washirika ni kama F 16 au F 35.
 
Itafikia kipndi hayo madege ni Kama pipi tu watu wanaingia darasani kusoma technology inakua, drone zimeshafanya mapinduzi makubwa saivi watu na madege Yao wanachapika na wanavimbiwa vile vile na wanavikundi wenye drones TU
 
Wana hitami ndio niny? Mkuu echolima A.K.A choo cha kulima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…