Je, Israel ya sasa ni Taifa teule la Mungu au ni propaganda tu za kanisa?

Maneno yote yatokayo kwa Yesu amepewa na Mungu coz wote wana co-exist... So iwe yametoka kwa malaika,sijui Roho mtakatifu sijui Yesu jua tu yote yametoka kwa Mungu....
Mkuu kwa swali lake lilivyokaa, ungetumia Busara tu Kukaa kimya; Ila anyway, umefanya vyema pia;
 
Mkuu PumziNdefu na ww uache kuwa biased..... Hicho kitabu kimeandikwa na mwanatheologia na kime base kwenye Bible mwanzo mwisho so ni vizuri ukisome uongeze kitu kipya kung'ang'ania jambo bila kutaka kujifunza sio faida kwenye mjadala.
Mkuu hii study sijaifanya leo, hii issue kwangu ni settled issue. Nimesoma vitabu vingi vyenye hii nadharia yako na vyote ni potofu havina ukweli wowote wa maandiko. Hakuna mistari ya Biblia inayo support hizi hoja zako bali ni tafsiri potofu ya Biblia.
Ni dhahiri you are not paying attention, hii issue nimeielezea tena kupitia maandiko kwamba ahadi za Mungiu hazibadiliki. Na hakuna sehemu kwenye agano jipya inayosema Mungu amewakataa, kwahiyo inclusion ya Wakristo haimaanishi Mungu amewakataa, hii ni tafsiri potofu ya Biblia, Agano Jipya halijafuta Agano la Kale. Huo mstari unaousema haufuti agano la Mungu kwa Abraham na Israel. Figurative view yako ya Biblia ndio inakufanya uongeze vitu kwenye hiyo mistari ambavyo havipo. That verse says what is says simple, don't add what is not there.

I say then, Hath God cast away his people? God forbid. For I also am an Israelite, of the seed of Abraham, of the tribe of Benjamin. God hath not cast away his people which he foreknew. Romans 11:1-2b

Pia nimekuambia Yesu ndio njia pekee ila na wao pia watamkubali kwani Mungu bado hajamalizana nao. So to conclude as if what it is is all that is going to be is wrong and contrary to the Bible:

For I would not, brethren, that ye should be ignorant of this mystery, lest ye should be wise in your own conceits; that blindness in part is happened to Israel, until the fulness of the Gentiles be come in. And so all Israel shall be saved: as it is written, There shall come out of Sion the Deliverer, and shall turn away ungodliness from Jacob: For this is my covenant unto them, when I shall take away their sins. Romans 11:25-27
Hapa sasa ndio umethibitisha udhaifu kwenye uelewa wako wa Biblia na biased view of Israel. Nyie ni wale watu mnaotumia Biblia ku-justify your philosophy on issues while some of us use it to shape ours. Unataja Russia sijui Iran as if they have any superiority when it comes to GOD. By the way alipowatoa Misri, Misri ilikuwa ni superpower ya wakati huo, na ndivyo ilivyokuwa alivyowarudisha kutoka Babylon kwa Neno lake au unafikiri nuklia ya Warusi is beyond God's ability?? Utasubiri sana.

The LORD hath prepared his throne in the heavens; and his kingdom ruleth over all. Psalm 103:19

Wewe sio Biblia na utabiri wako means NOTHING. What the Bible says is what God says and what He says is what is going to happen. And FYI this time amesema HAKUNA ATAKAYE WAONDOA:

Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation. or the prophecy came not in old time by the will of man: but holy men of God spake as they were moved by the Holy Ghost. 2 Peter 1:20-21

Behold, the eyes of the Lord God are upon the sinful kingdom, and I will destroy it from off the face of the earth; saving that I will not utterly destroy the house of Jacob, saith the Lord. For, lo, I will command, and I will sift the house of Israel among all nations, like as corn is sifted in a sieve, yet shall not the least grain fall upon the earth. And I will plant them upon their land, and they shall no more be pulled up out of their land which I have given them, saith the Lord thy God. Amos 9:8-9,15
Nimekuambia hii hoja sio Biblical, hakuna sehemu yeyote kwenye Biblia inayosema hayo makabila yalifutika, inachosema ni kwamba walichukuliwa utumwani, Mungu aliwaambia wakiasi atawapeleka utumwani kama adhabu ila pia aliahidi kuwarudisha. Na kusema sijui mixed sijui sio pure ni potofu. Na siyo hayo makabila 10 tu hata yale 2, kwa miaka karibu 1000 walikuwa wametawanywa mataifa mbali mbali, na shida zote walizopitia kuweza kutunza culture yao, lugha na dini hii pekee yake ni extraordinary. Na inathibitisha ahadi ya Mungu kuwa angekuwa nao huko utumwani na kuwarudisha, sasa leo yametimia kuanza kusema eti sio pure based on biased theories is ridiculous.
Nilikupa mistari inayoonyesha atawakusanya kutoka kwenye kona zote za dunia kukuonyesha kilichotokea 1948 was the fulfilment of that verse kwasababu kabla ya 70 AD hawakuwahi kutawanywa kwenye kona zote za dunia, ila ni kama ulivyosema hayo makabila 10 yalichukuliwa na Assyria na 2 yaliyobaki baadae yalienda Babylon. It is only when the Romans destroy Israel and their temple that they where scatterd everywhere.
Mkuu Biblia inajitafsiri yenyewe ukiwa makini kwenye kujifunza mambo mengi yatakuwa wazi. Ila Biblia sio kama vitabu vingine unavyosoma mara moja halafu ukasema unajua kila kitu, the more you dig in the more clear it will get, otherwise most part of it will remain figurative to you. Kuna lugha ya Biblia ambayo ukijifunza mambo mengi yatakuwa clear and literal. Hata hiyo mistari uliyouliza ukiacha kuichukua out of context majibu yake yako humo humo. Ila kama mistari ambayo inajieleza yenyewe bado hatuelewani hii hatutafika.

It is the glory of God to conceal a thing: but the honour of kings is to search out a matter. Proverbs 25:2
 
nzuri ndefu ila bado sijaona swali asee!
 
Mkuu PumziNdefu bado napata shida sana kukuelewa
1. Unasema Issue ya wayahudi kujichanganya na mataifa mengine ni theory tu. Soma 2 wafalme 17:6-41 inaeleza jinsi walivyotekwa na kuletewa watu wa mataifa mengine na hii ndio ilipelekea Samaria ambayo ndio ilikuwa makao makuu ya ufalme wa Israel baadae kutengwa na watu kutoka ufalme wa Yuda rejea Yohana 4:9. Sasa basi kama unasema ni theory huoni unapotosha.

2. Unasema makabila 10 hayajapotea nimekuuliza toka mwanzo je yako wapi?? Kwanini unasema Israel ya sasa ndio Mungu kawarudisha ilihali 80% ya jewish population in Israel na dunia nzima is Ashkenazi pekee.... Je wayahudi wa makabila kama Ephraim na Dani wakowapi??

3. Pia sio kila kitu kimejibiwa na Biblia mkuu because bible is not history na hilo hlikua lengo la Bible hivyo usilazimishe kila hoja ya kihistoria iwe strictly kwenye Bible na ndio maana bible yenyewe inatutuma tukarefer kwenye history books za kale nimevizungumzia humu
https://www.jamiiforums.com/threads/biblia-na-reference-ya-vitabu-vya-kipagani.1489758/
Hivyo usipende kupinga chochote ambacho hakipo kwenye bible ingawa ni historical accurate.

4.bado unasema Bible sio figurative nimekuomba mstari maana mimi nimeweka Zaburi 78:2 ukibashiri kutumika na mafumbo by Jesus ambaye ndie huyo huyo kaandika revelation kupitia Yohana sasa nimeuliza kama Makabila 12 ni lateral nisaidie basi kunielezea kivp mwanamke wa Ufunuo 12 anayeweza kulivaa jua lote na kuvaa mwezi mguuni anaweza kujifichaa kwenye msitu na asionekane?? Na atakua na ukubwa gani..... Nasubiri jibu.

5. Narudia tena je unajuaje kuwa unabii umetimia pale Tel Aviv kuwa wayahudi wamerudishwa na sio propaganda za wazungu tu. Yaani ina maana hata mimi nikisema nikajenge hekalu kesho asbuhi pale Tel Aviv basi unabii unakuwa umetimia hata kama wakati hujafika yaani niamke tu asubuhi niseme mimi ndio Yesu kesho niende Tel Aviv basi utasema mimi nimetimiza unabii wa kurudi kwa Yesu?? Embu nisaidie umetumia methodology gani kukiri kuwa unabii umetimia na mimi nikijiita Yesu itakuwa sijatimiza unabii.... How do u differentiate??

6. Ni kweli ahadi za Mungu hazibadiliki ila subjects zinabadilika. Ndio maana Mungu aliahidi kuwafikisha waisrael Canaan kutoka misri ila hiyo ahadi ilikuwa manifested kwa watu wawili tu Caleb na Joshua wale watu wazima wengine waliotoka Misri walifia njiani wote. Kwa msingi huo huo ahadi kwa Israel haijabadilika ila subjects ndio imebadilika badala Israel kuwa wale wafuga ndevu wa Tel Aviv sasa wamekuwa wale wanaomfuata Yesu yaani new covenant ya waebrania 9 kuwa Ni kupitia damu ya Yesu ndio New covenant inakuwa sealed. Je hao wayahudi ni lini wamewahi mtambua Yesu?? Na kama sio je ni wapi Bible inasema agano hilo jipya haliwahusu wayahudi ambao wao waliseal agano la kale kwa kutumia damu za mnyama??

Ni hivi mkuu Bible ikisema usizini ina maana usizini sio kusema ooh hapo aliwaambia tu waisrael au wagiriki n.k tusifanye selectivity kama wewe unavyodai. Bible ishasema Yohana 1:12 wote waliompokea aliwafanya kuwa wana wa Mungu ikimaanisha waliomkataa wote sio wana wa Mungu tena iwe myahudi au muarabu. Sasa kwanini unafanya selectivity kuwa Jews ni exception wakati Bible ishasema ni kupitia YESU PEKEE je hao wayahudi ni lini walimpokea Yesu?? Na ukisema wao ni exception basi na sisi waafrika ni halali kuzini n.k sababu amri 10 alipewa Myahudi sio sisi?? Si eti??

7. Unasema hakuna agano lililofutwa
Waebrania 8:13
13 Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kuukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.

Kwahiyo agano la sasa ni tofauti kabisa na la mwanzo limekuwa OBSOLETE. Na biblia inasema advocate na kuhani mkuu wa agano jipya ni YESU PEKEE hivyo kama hauna Yesu basi agano jipya halikugusi hivyo kama hao Israel ambao hawamtambui Yesu basi agano jipya haliwahusu. Kwa mara nyingine naomba unipe mstari unaosema wokovu ni kupitia Yesu tu ila exception kwa Wayahudi!!! Kama haupo nieleze unatoa wapi hii theory kuwa kwenda mbinguni ni two way wakati bible ishasema na nmeweka hapa kuwa hakuna myahudi wala myunani mbele za Mungu.

Ahsante
Mathayo 21:42-43
42 Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko,Jiwe walilolikataa waashi,Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni;Neno hili limetoka kwa Bwana,Nalo ni ajabu machoni petu?
43 Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake
 
Sijui tatizo ni lugha au uelewa ila maswali yako yote nimekujibu siwezi kurudia.

Ila kwa kifupi kuhusu makabila ya Israel nimekuonyesha Mungu aliahidi kuwatawanya kama sehemu ya adhabu ila pia alisema angekuwa pamoja nao nakuwarudisha, sasa kama wewe unasema sio kweli sina muda wa kupoteza na wewe baki na unachokiamini. Hakuna sehemu yeyote kwenye Biblia inayosema yamefutika. Yakobo 1:1 na yeye aliyaandikia kwa makibila 12 ya kiroho??
Huijui biblia. Hakuna sehemu inayotutaka tukasome vitabu vingine. Na tukianza kusoma vitabu ni kipi utakacho kiamini kwa sababu theories ziko nyingi?? Utajuaje kipi ni cha kweli?? Au unatafuta kile kinachosema kile unachotaka kusikia??

This book of the law shall not depart out of thy mouth; but thou shalt meditate therein day and night, that thou mayest observe to do according to all that is written therein: for then thou shalt make thy way prosperous, and then thou shalt have good success. Joshua 1:8

Sipingi ambacho hakipo kwenye Biblia ila napinga kile kinachopingana na Biblia.

I have yet many things to say unto you, but ye cannot bear them now. John 16:12
Nimesha kujibu hili mara mbili.
Subject ilibadilika kwahiyo walioenda Caanan ni Wamisri?? Katika generation ya akina Caleb na Joshua ndio wao 2 walioingia Canaan ila huwezi kusema wana wa Israel hawakuingia, wakati Musa alimchagua Joshua awe kiongozi wa kuwaongoza Waisrael Caanan. Wewe generation ya babu zako wakifa ikabaki generation ya wazazi wako wanaacha kuwa watanzania?? Wewe haya mambo unasimuliwa?? Ni dhahiri uelewa wako wa Biblia ni mdogo na kama hutotaka kujifunza hautafaidika nayo.

Nimeshakuambia hakuna sehemu yoyote kwenye biblia inayosema Mungu amewakataa.

Biblia iko very clear, nimekupa mstari unaosema very clear Mungu hajawakataa Warumi 11:1-2b bila kuongeza maneno, wewe hujanipa hata mstari mmoja unaosema Mungu amewakataa ila unachofanya ni kuongeza maneno ambayo hayapo, tafsiri potofu. Tena Paulo aliandika Warumi 11 kuthibitisha Mungu hajawakataa kwa ajili ya watu kama nyie.

Mtu aliyemkataa Yesu ni yule aliyekufa bila kumpokea, wakati bado anaishi anayo nafasi na huwezi kuhukumu kwani huijui kesho, ndivyo ilivyo hata kwao. Hayo mengine ni chuki na ubinafsi ambavyo hata havikusaidii.

Biblia inasema Eve alikuwa deceived maana halisi ya hili neno ni kufikiria uko sahihi wakati hauko sahihi, na hii ndiyo kazi ya shetani mpaka sasa.
Wewe unaweza kuya-define hayo maagano mawili ni yapi?? Au unadhania Mwanzo mpaka Malaki na Mathayo mpaka Ufunuo wa Yohana ndio maagano?? Hili nilishakueleza kwahiyo sitapoteza muda.

What you are doing is eisegesis (reading into Scripture) rather than exegesis (reading out of Scripture.)

...Ndiyo maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi. . Matthew 13:13
 
Mkuu PumziNdefu naona unaingia kwenye mjadala ukitaka kuweka msimamo na sio kujifunza ndio maana hata nikikuwekea articles hutaki kusoma unaishia kubisha tu mfano hapo unasema hakuma sehemu kwenye bible inaturefer tukasome external sources embu soma hapa.

2 Nyakati 20:34
34 Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, ya kwanza na ya mwisho, angalia, yameandikwa katika tarehe ya Yehu mwana wa Hanani, iliyotiwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli.

Na hapo nmekuwekea uzi wenye mistari zaidi ya 20 unao turefer kwenye vitabu vya apocrypha tukasome habari za wafalme na historia ya israel MWANZO hadi MWISHO sasa unachobisha ni nini mkuu??

Kwa msingi huu sitegemei ulazimishe kila historical fact iwe kwenye Bible ilihali bible na yenyewe inaturefer kwenye vitabu ambavyo ni vya kipagani tu ili tujifunze historia so usijifanye una base kwenye bible kila kitu ilihali bible cites othee sources ambazo zinacontradict na bible. How do u defend this!!!

2. Naposema agano namaanisha agano la Mungu na Abraham na la Yesu kwa wanadamu wote waliomfuata....... Agano la kwanza lilikuwa sealed na damu ya mwana kondoo ila agano la pili/Jipya lilikuwa sealed na damu ya Yesu na condition iliwekwa kuwa ni lazima umfuate Yesu ili uwe subject wa agano jipya soma sura nzima ya waebrania 8 na 9 sasa na mstari wa Ebrania 8:13 uko very clear kuwa Agano la kwanza limekuwa OBSOLETE sababu kuna agano kupitia damu ya Yesu. Ndio nimekuuliza ni lini waisrael wamewahi kumkiri Yesu? kama hawajawahi kivp useme bado ni wateule sijui taifa la Mungu??? Leta verse inayosema Bila Yesu unaenda mbinguni

3. Kuhusu kuwakataa mstari mbona nimekuwekea
Mathayo 21:42-43
42 Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko,Jiwe walilolikataa waashi,Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni;Neno hili limetoka kwa Bwana,Nalo ni ajabu machoni petu?
43 Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.


sasa wewe mtaalamu wa theolojia nisaidie hapa Yesu alimaanisha nini??

4. Kuna swali nimekuuliza hujajibu?? Nimesema unajuaje unabii umetimia au ni propaganda?? Mfano leo niamke nikajenge hekalu la wayahudi je itakuwa unabii umetimia as they claim kuwa hekalu litajengwa?? Leo nikisema mie ndio Yesu nimerudi mara ya pili je utasema ni unabii umetimia au utanikataa?? Naomba unisaidie hapa how do u tell hiyo Israel ya ashkenazi ndio imetimiza unabii na sio wahuni wachache ndio wamewaweka pale kwa mawazo yao tu.

Hapa simaanishi unipe mstari kuwa watarudi sijui blah blah niambie how do u tell huu ndio wakati uliosemwa kwenye Bible?? I want proof of physical fulfillment maana hata WW2 propaganda zilianza kuwa Hitler ndio mpinga kristo na WW2 ndio armaggedon hivyo Yesu angekuja sometime in 1940s!! Je nini kilitokea??

Tusaidiane hapo hoja kwa hoja tuache jazba
 
Akhsante sana mkuu; yees! wamekwishaaa! Mungu alimpa Abraham nchi ya Caanan, kuanzia mto Nile (mto pekee katika Egypt ya kale na ya leo), mpaka great Euphrates river in today's Iraque hivo basi; Genesis 15;18 yadhihirisha haya,

Tanzania tumo katika mpango wa ramani ya Mungu wetu. na sisi ni wa Caanan. see by Air craft it's almost only 4hrs , from JNIA to Ben gurion I/airport, hongeleni sana wana JF baadhi yetu humu ndani ni watoto wa mfalme Yehova yile. Yesu ni brother yetu wa damu damu. sisis ni Wayahudi tulioponea chupuchupu ile vita ya karne ya 7 tukajificha kwenye mapori. kumbe ndo maana tunalijua sana neno, kulipenda, na kulichunguza. asubuhix2 tu kitoto changu hicho na Biblia km chai.

Ukiangalia ramani ya sasa, ili badilishwa x2 kule Berlin conference mwaka 1884-1888. hakuna Mwafrika hata mmoja aliye alikwa.na local chiefs walikuwepo. kabla ya mkutano huu, hakukuwa na mipaka hii tunayoiona leo. Pande alilolikata Mungu kumpa father Abraham limedhihirishwa na Biblia takatifu leo. mwanzo 15-18 jamani weee! tuliumia sana kukaririshwa ujinga. tujipe pole ila nawalaumu wachungaji fake.nimekaa kanisani SABATO miaka 30 sikujua haya.

Mto wa Misri unajumuisha jumla ya nchi kumi na moja. Including East africa yoote. na North East Africa yoote.
Wewe unayesoma uzi huu umepata guts za kusoma mpaka hapa , basi wewe pasi na shaka ni Myahudi pure, DNA of Jesus, the channel of God blessings. ila tu tumedanganywa mno.
Mtu yeyote JF ambaye siyo mu-Israel original, hawezi soma mpaka hapa bila kizunguzungu. sasa, NAKUPA ZAWADI ;
Roman 11;26-27, all Israel shall be saved as its written, 27,and this will be my covenant with them before I take away their sins
 
Nashauri jina la TANZANIA- LIWE TANZRELO. yaani TANZANIA -ISRAEL-ORIGINAL, Na nchi zote ndugu wa damu wafuate mpango huu.

Naamini Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.

Nitajitolea na kujielimisha nafsi yangu kwa ajili ya wote.

Eeeh! Mungu nisaidie.
 
Mi ninachojua nakuamini ....ISRAEL YA SASA ndyo kizazi Cha Israel ambao ni taifa teule....

Ila kwa kumkataa kwao ndyo mataifa mengine yakahesabiwa haki waliompokea kristo.....But AGANO LILE N LA MILELE ......

Na Kuna mstari unasema PIMBI WATAPORUDI KWENYE ARDHI (Israel) Hamna taifa litakaloweza kuwang'oa hapo....nikipata muda nitakutafutia.....but kwa ww unaonaje kwa yanayoendelea.....since kurud1948 unahis Kuna siku wanaweza kuopoteza!!...ilihali muda unavozidi kwenda ndo linazidi kuwa taifa lenye nguvu......
 
Mkuu kama agano la milele kivipi kabila la Dani lilitengwa kwenye kitabu cha ufunuo? Yaani makabila 12 moja limefutwa je kwa maoni yako huoni ahadi hiyo imeshajipinga?

2. Mkuu kwenye nguvu ya kivita ni msaada wa marekani tu sio kingine. Mie naamini kma ni Mungu anawasaidia basi wangekua wanashinda vita kwa silaha duni kabisa. Hta kwa bible walikua wanashinda vita wakiwa na silaha/jeshi dogo mnoo ila ssa wanatumia matrillion kujilinda so hapo ni nguvu za mzungu sio kingine.

3. Watakaporudi lini? Nachojua 85% ya waliopo pale Israel ni Ashkenazi na makabila menginr mawili tu ya judah . Zaidi ya makabila 10 yameshatoweka so unaposema wamerudi ina maana 20% yawaisrael wote ndio wanaoishi Hapo Tel aviv. Je uhalali wa kusema wamerudi inatoka wapi?
 
Mkuu,pale Yesu alipotamka "Nyumba yako imeachwa ukiwa,ndio mwisho wa lsrael kuwa taifa takatifu,japo wakristo wenzangu wanaosoma biblia kwa makengeza wanaendelea kujidanya.
 
 
JIBU NI ISRAEL SIYO TENA TAIFA LA MUNGU ...LILIKUWA TAIFA LA MUNGU KI MANTIKI TU ....SIYO TENA TAIFA LA MUNGU ...SOMA WOSIA WA YAKOBO (ISRAEL) WAKATI WA KUFA KWAKE ALIELEZA ILI JAMBO, NDANI YA ULE WOSIA ....MWISHO WA KUWA TAIFA LA MUNGU NI KUJA KWAKE YESU ....ndivyo na hata YAKOBO ALIVYO SEMA.
 
CC: ward41 , johnthebaptist , Mzee Kigogo , Hakim mfawidhi , YEHODAYA ,TumainiEl et Al
 
Samahani mkuu Yahwew si JEHOVA kwa kiswahili bali hili jina lilianza kutumiwa na msomi mmoja wa kidini enzi katika kutafuta jina halisi la Mungu,kwani musa alipomuuliza Mungu jina lako nani alilishusha jina Lake katika maandishi ya herufi 4 zisizo na viunganishi,EL ni jina halisi laMungu kwa kiaramu maana hata yesu msalabani alilitamka....kwa nini lipo katka biblia? Katika vitabu vyote vya awali vya kiyahudi vilivyokuja kutafsriwa na kupangwa kuwa biblia hapana neno jehova lililowahi kuonekana.hivyo naweza kutafsiri jehova na mstari fulani unaotamka WATALITUKANA JINA LA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…