Strong
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 515
- 454
Wapendwa habari ya weekend naombeni msaada wenu kuna mwanaume amezaa mtoto na mwanamke bila kua katika ndoa halali wakiwa wanaishi pamoja na hakutoa mahari pia wala hakuna ndoa kama nilivosema mtoto alipofikisha mwaka na miezi 7 walitengana baada ya mwanamke kuona amegeuka mlezi wa mtoto na mwanaume yaan mwanaume anadelay majukumu kwakua wote ni watumishi serikalini.
Sasa tokea mwanamke aamue kuondoka na kuishi mwenyewe baba wa mtoto hajawahi kutoa huduma yoyote na mama wa mtoto hajawahi kumwomba je huyu mwanaume atakapotaka mtoto wake itakuwa vp au nini kifanyike?