Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Mzee ebu ifafanue zaidi kdg kuelisha jamii "42 Negative Confessions of MAAT" naona km kunanukia maarifa hapa
Hakuna maarifa yoyote ni upumbavu mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ebu ifafanue zaidi kdg kuelisha jamii "42 Negative Confessions of MAAT" naona km kunanukia maarifa hapa
Ndg, wewe ndio uko utumwani. watu hatuko kabisa utumwani tena tunaogopeka mno kimaarifa hasa unapojutana na hawa watu.
Watu bado hamjaamka. Mpaka sasa nina watoto 4 na bado nina miaka 40. nataka watoto 7 na wote wanasoma shule nzuri na sekondari zenye elimu bora na wao wote wana uelewa juu sana kimasomo.
Pia hawa watoto hawajawai kushiriki swala lolote la kidini za ulimwengu wa sasa. Kwa maana wanapractice 42 Negative Confessions of MAAT. upo hapo? kwanza unazijua na kama huzijui basi wewe upo ubabeli bado.
HIVYO KUANZIA MIMI HADI FAMILIA YANGU HATUJUI KITU UTUMWA WA KIAKILI. TUMESHAKUWA WATU HURU KAMA TULIVYOZALIWA HURU. NINA MASHAKA NA WEWE NDG YANGU.
Umelewa??? Au ndio uko bar!??2035 marekani na ulaya yote itakuwa koloni la tanzania
Unamaanisha sasa ivi ni zamu yao kututawala au??Mbona tulishatoka huko mkuu.wakati wa kemet au misri ya mapharao.
Ngoja ccm pamoja baba jei watoke madarakani tutaanza waza haya mambo.Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...
Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza, marekani na hata India?
Tutawezeshaje hili?
What goes around jamani.. na sisi tukomae tukawatawale wazungu, wachina na wahindi
Ntarudi kujibu hoja..
Nina maana tulishatoka huko na sasa tuko mbioni kurudi tena.Unamaanisha sasa ivi ni zamu yao kututawala au??
Mzee ebu ifafanue zaidi kdg kuelisha jamii "42 Negative Confessions of MAAT" naona km kunanukia maarifa hapa
Vitu vitingine muwe mnaficha tukiwaita wapumbavu mtasema tunawatusi.
Ww unasema haupo utumwani,
Haumini dini za ulimwengu Wa sasa, haupo ktk ubabeli alafu
Unaamini katka.
The 42 Divine Principles of Maat in Budge's native English follows:
I have not committed sin.
I have not committed robbery with violence.
I have not stolen.
I have not slain men or women.
I have not stolen food.
I have not swindled offerings.
I have not stolen from God/Goddess.
I have not told lies.
I have not carried away food.
I have not cursed.
I have not closed my ears to truth.
I have not committed adultery.
I have not made anyone cry.
I have not felt sorrow without reason.
I have not assaulted anyone.
I am not deceitful.
I have not stolen anyone’s land.
I have not been an eavesdropper.
I have not falsely accused anyone.
I have not been angry without reason.
I have not seduced anyone’s wife.
I have not polluted myself.
I have not terrorized anyone.
I have not disobeyed the Law.
I have not been exclusively angry.
I have not cursed God/Goddess.
I have not behaved with violence.
I have not caused disruption of peace.
I have not acted hastily or without thought.
I have not overstepped my boundaries of concern.
I have not exaggerated my words when speaking.
I have not worked evil.
I have not used evil thoughts, words or deeds.
I have not polluted the water.
I have not spoken angrily or arrogantly.
I have not cursed anyone in thought, word or deeds.
I have not placed myself on a pedestal.
I have not stolen what belongs to God/Goddess.
I have not stolen from or disrespected the deceased.
I have not taken food from a child.
I have not acted with insolence.
I have not destroyed property belonging to God/Goddess
Upumbavu mwingine nao ni upumbavu kweli kwel
Vitu vitingine muwe mnaficha tukiwaita wapumbavu mtasema tunawatusi.
Ww unasema haupo utumwani,
Haumini dini za ulimwengu Wa sasa, haupo ktk ubabeli alafu
Unaamini katka.
The 42 Divine Principles of Maat in Budge's native English follows:
I have not committed sin.
I have not committed robbery with violence.
I have not stolen.
I have not slain men or women.
I have not stolen food.
I have not swindled offerings.
I have not stolen from God/Goddess.
I have not told lies.
I have not carried away food.
I have not cursed.
I have not closed my ears to truth.
I have not committed adultery.
I have not made anyone cry.
I have not felt sorrow without reason.
I have not assaulted anyone.
I am not deceitful.
I have not stolen anyone’s land.
I have not been an eavesdropper.
I have not falsely accused anyone.
I have not been angry without reason.
I have not seduced anyone’s wife.
I have not polluted myself.
I have not terrorized anyone.
I have not disobeyed the Law.
I have not been exclusively angry.
I have not cursed God/Goddess.
I have not behaved with violence.
I have not caused disruption of peace.
I have not acted hastily or without thought.
I have not overstepped my boundaries of concern.
I have not exaggerated my words when speaking.
I have not worked evil.
I have not used evil thoughts, words or deeds.
I have not polluted the water.
I have not spoken angrily or arrogantly.
I have not cursed anyone in thought, word or deeds.
I have not placed myself on a pedestal.
I have not stolen what belongs to God/Goddess.
I have not stolen from or disrespected the deceased.
I have not taken food from a child.
I have not acted with insolence.
I have not destroyed property belonging to God/Goddess
Upumbavu mwingine nao ni upumbavu kweli kwel
Badoo hujaonyesha werevu wako juu ya kile ninachokijua.
Bado unaonyesha ujinga wako juu ya kile usichokijua.
Mifuno ya Elimu yako ya Kipumbavu ni kwa mabwana zako unaowahusudu. Huku nikikudhihirishia kuwa Hata hao mabwana zako ni watoto wetu.
Hawana Jipya wasilolijua kutoka kwetu. Misingi ya Ujinga wako hautaweza ng'ooka mpaka pale utakapoelewa Nani aliweka Platiform ya hiki unachofikiria wataka kukifahamu.
Elimu yako ni potofu na ni dhaifu sana. Hata hujengi hoja ili werefu tujifunze au tukurekebishe kwa maarifa ya kukujenga kijeshi la KUMILITARISE OUR AFRICAN PRIDE.
AMKA KWA KUJENGA HOJA YA KUSAIDIA JAMII NA FAMILIA YAKO. MTI MWEMA HUZAA MATUNDA MEMAA KAMWE HAUZAI MATUNDA MABAYA.
MY PEOPLE ARE DESTROYED BECAUSE THE LACK OF KNOWLEDGE
wwanza asili ya hicho unakiamini sio misri ni wao wali adapt, pili nayo inamwanzalishi kama dini nyingine, Tatu nayo ni dini yenye kuabudu mungu kama ilivyo ukristo uislim, Buddha, uyahudi na dini nyingnezo.
Kumbe na ww ni wale wenyekufuata mambo ya kukaririshwa
Jambo hilo raisi sana kama tutaamuwa kuwafanya wao ni watu duni sana kama watuonavyo sisi lakini Africa yote tuna ufinyu wa akili kwamba baada ya Mungu anafuatia mzungu kwahilo tu hatuwawezi.