johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anamuapisha mbele ya Bunge?kwa mujibu wa kanuni za bunge.
Mara baada ya uchaguzi wa spika, basi katibu wa bunge ndiye anayemwapisha Spika .
Basi muelimisheni Mbowe!... atakuwa alishajiapisha mwenyewe huko kwenye vyoo vya Bunge. Katiba haisema kwamba lazima muoneshwe live; kama una hicho kifungu kiweke hapa.
Keep quiet! Nchi hii haina sheria wala katiba, katiba/sheria ni kauli ya mtu mmoja JIWE/DPPTuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.
Maendeleo hayana vyama!
Hata lisipoapa nani ana shida nalo?Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.
Maendeleo hayana vyama!
Duh!Hata lisipoapa nani ana shida nalo?
Bwashe hivi mtu kama Ndugai anaweza kuapa kwa kitabu gani cha dini? Manake kwake Biblia ni kama gazeti la Uhuru.Anamuapisha mbele ya Bunge?
Good question, hebu turudi kwenye kanuni za kibungeTuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.
Maendeleo hayana vyama!
Hata kijijini kwao Ndugai na hata kule aliko mpigia mifimbo Ndg Chilongani, ni eneo la Bunge, ndio maana haikuchukuliwa hatua yoyote kwake.Basi muelimisheni Mbowe!