Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Katiba inasema mtu yeyote mwenye sifa za kuwa mbunge anaweza kuwa Spika. Ila kabla ya kuanza kazi za uspika anatakiwa kula kiapo mbele ya National Assembly.
Amandla...
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Spika anaapa mbele ya national assembly halafu ndio anawaapisha wabunge?Katiba inasema mtu yeyote mwenye sifa za kuwa mbunge anaweza kuwa Spika. Ila kabla ya kuanza kazi za uspika anatakiwa kula kiapo mbele ya National Assembly.
Amandla...
Chadema wamekuwa vichaa.
Basi muelimisheni Mbowe!
Mbele ya bunge maana yake ni nini?Kulingana na sheria ya Bunge Spika ataapishwa na katibu wa bunge mbele ya Bunge. Baada ya kuapa ndipo ataanza kazi rasmi na kimsingi kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaapisha wabunge. Na kimsingi kiapo anachoapa yeye(Spika) hakina tofauti sana na kile ambacho wataapa wabunge wengine