Kulingana na sheria ya Bunge Spika ataapishwa na katibu wa bunge mbele ya Bunge. Baada ya kuapa ndipo ataanza kazi rasmi na kimsingi kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaapisha wabunge. Na kimsingi kiapo anachoapa yeye(Spika) hakina tofauti sana na kile ambacho wataapa wabunge wengine