A
Anonymous
Guest
Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha jinsi ya kutumia gas na kulinda mtungi wa gas ili kuepuka hatari? Kwanini kampuni za gas zisingeweka sticker ya kuonesha do's na donts za gas.
Kwa mfumo wa picha na maneno maana wengi hawajasoma na hawana elimu na wana tumia Gas.
Mwaka flani nilifurahi kuona Orxy gas walikuwa wanaweka stickers za kuelimisha naona sasa hawaweki. Yaani hii ni sawa na kuweka Petroli kwenye chupa na kuitunza ndani ya nyumba.
Jamii tujifunze maana ya Dangerous. Itasaidia kuweka familia zetu salama na jamii zetu salama huko tulipo.