Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi,
Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho,
Hao vijana ni hatari sana mfumo unaweza kuwa unahadaa umma sio rahisi kihivyo kabisa katikati ya nyakati ngumu SSH akawa na nguvu za utenguzi
Kauli ya Nape inaviashiria vya Kuonyesha kuwa wao ndio Tume.
Ninaogopa kusema mengi lakini moyo wangu unanituma katika majasusi na wataalam wa uchaguzi ni January na Nape.
Ukweli wa Mungu hao ndio Tume wenyewe wamepumzishwa kiaina lakini Wanamajukum mazito kuliko Uwaziri maana Uchaguzi ni zaidi ya Uwaziri.
😷😷..Tuendelee alipo Ishia Nape kama alivyo sema Bukoba
Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari