Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
Miongo mingi iliyopita wanaume na wanawake walivaa nguo zinazofanana kwa uundwaji.
Yaani yote yalikuwa ni kama blauzi na sketi. Miaka ya baadae yalikuja kutofautiana.
Je, kwa ni kwa sababu wabunifu wakati ku dizaini waliona mahitaji ya kila moja ya hizi jinsia mbili?
Nimejiuliza haya baada ya kuona jinsi wadada kwa sasa wanavyojipigilia hizi tight , na hapo anaamka saa za alfajiri sana kwenda kwenye heka heka za maisha kutwa nzima na jioni balaa la kugombea usafiri wa kurudi nyumbani usiku wa kutosha. Na idadi yao kubwa kazi zao ni za kutokutulia pamoja .
Na siku hizi wametngenezewa kufuli dizaini ya boksa[emoji851][emoji851]. Tunafahamu hata wakijisaidia na ku nawa, kisha kujifuta unyevu hauishi.
Tofauti na aliyevaa sketi na under sketi ( a.k.a gagulo) ambae akihitaji vantelation ya hewa ni kiasi cha kutanua miguu tu.
Naomba tujuzane ili kuwasaidia Dada zetu nguo sahihi kwa jinsia yao, ili tuzidi kufurahia haya maua yetu tuliopewa na Mola.
Jumatano njema.