Je, jeans ( tight ) kwa wanawake zinachangia uchafu na hata magonjwa kama U.T.I ?

Zionist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
1,866
Reaction score
2,996
Miongo mingi iliyopita wanaume na wanawake walivaa nguo zinazofanana kwa uundwaji.

Yaani yote yalikuwa ni kama blauzi na sketi. Miaka ya baadae yalikuja kutofautiana.

Je, kwa ni kwa sababu wabunifu wakati ku dizaini waliona mahitaji ya kila moja ya hizi jinsia mbili?

Nimejiuliza haya baada ya kuona jinsi wadada kwa sasa wanavyojipigilia hizi tight , na hapo anaamka saa za alfajiri sana kwenda kwenye heka heka za maisha kutwa nzima na jioni balaa la kugombea usafiri wa kurudi nyumbani usiku wa kutosha. Na idadi yao kubwa kazi zao ni za kutokutulia pamoja .

Na siku hizi wametngenezewa kufuli dizaini ya boksa[emoji851][emoji851]. Tunafahamu hata wakijisaidia na ku nawa, kisha kujifuta unyevu hauishi.

Tofauti na aliyevaa sketi na under sketi ( a.k.a gagulo) ambae akihitaji vantelation ya hewa ni kiasi cha kutanua miguu tu.

Naomba tujuzane ili kuwasaidia Dada zetu nguo sahihi kwa jinsia yao, ili tuzidi kufurahia haya maua yetu tuliopewa na Mola.

Jumatano njema.
 
Wanawake wa sasa ni wachafu full stop. Siyo kwa sababu ya suruali wala gagulo ila wengi wao ni wachafu sana. Fikiria mtu ana mikucha ya kubandika mirefu kama sigara za sportsman unategemea ajisafishe kwa ustadi kweli?.

Nikiona mwanamke ana mikucha mirefu cha kwanza kuniijia akilini ni usafi wa nyeti zake.
 
Mkuu endelea kufurahia maua yetu tuliyojaaliwa na mwenyezi Mungu, hayo mengine tuachie sisi wenyewe. Hayakuhusu.
 
Wanawake wa sasa ni wachafu full stop. Siyo kwa sababu ya suruali wala gagulo ila wengi wao ni wachafu sana. Fikiria mtu ana mikucha ya kubandika mirefu kama sigara za sportsman unategemea ajisafishe kwa ustadi kweli?.

Nikiona mwanamke ana mikucha mirefu cha kwanza kuniijia akilini ni usafi wa nyeti zake.
Hiii jamani sasa tumsikilize nani?!!!!
Ukienda hospital doctors wanasema marufuku kuingiza vidole uko cuz kunajiswafi kwenyewe.
Sasa point yako ya kucha sdhani kama ni sahihi kwa 85%
 
Fikra zako na za kwangu mkuu, naona huwa zinamech kozi hata mm huwa nikimwona/kukutana na mwanamke/girl yeyote mwenye kuchat ndefu au hii mikucha yao ya fashion huwa namtizama na kumdefine kichwani mwangu kuwa maumbile yake ya huko chini si masafi Kabisa Kwa harufu au usafi mzur hata Kama n mrembo lakin basi me Fikra zangu zote huwa n huko chini kuna Hali gani!!!????

kwa kweli UTI ni ugonjwa usioweza kuisha kwa sababu kama hizi za makucha.
 
Nakuibia siri kiongozi, ukimuona mwanamke mjini au kokote kavaa skin taiti nyeusi huyo ni mchafu ukiona kavaa bra nyesui huyo ni mchafu!

Wanavaa bra hata wiki mbili na hizo taiti bila kuzifua wanachokifanya wanakuwa wanazipulizia "Body spray" ona maajabu haya na wengi wananuka!

Ni kheri mvaa kimini kuliko mvaa taiti nyeusi na wengi sasa hivi wanazivaa pamoja na madera hao waogope wamevunda
 
Hiii jamani sasa tumsikilize nani?!!!!
Ukienda hospital doctors wanasema marufuku kuingiza vidole uko cuz kunajiswafi kwenyewe.
Sasa point yako ya kucha sdhani kama ni sahihi kwa 85%
Utakaponuka kama mzoga mbele ya mpenzi wako Dr. hatakuwepo.
 
Nakuibia siri kiongozi, ukimuona mwanamke mjini au kokote kavaa skin taiti nyeusi huyo ni mchafu ukiona kavaa bra nyesui huyo ni mchafu!
Wanavaa bra hata wiki mbili na hizo taiti bila kuzifua wanachokifanya wanakuwa wanazipulizia "Body spray" ona maajabu haya na wengi wananuka!
Ni kheri mvaa kimini kuliko mvaa taiti nyeusi na wengi sasa hivi wanazivaa pamoja na madera hao waogope wamevunda
Kuna wengine ni wasafi ila asilimia kubwa ni wachafu kama wabeba taka.
 
Nakuibia siri kiongozi, ukimuona mwanamke mjini au kokote kavaa skin taiti nyeusi huyo ni mchafu ukiona kavaa bra nyesui huyo ni mchafu!

Wanavaa bra hata wiki mbili na hizo taiti bila kuzifua wanachokifanya wanakuwa wanazipulizia "Body spray" ona maajabu haya na wengi wananuka!

Ni kheri mvaa kimini kuliko mvaa taiti nyeusi na wengi sasa hivi wanazivaa pamoja na madera hao waogope wamevunda
Pia mimi nimejiuliza hilo joto au fukuto linalohifadhiwa ndani ya kufuli na tight , linakuwaje likiachiwa litoke ?
 
Ninachojua zinapunguza saizi za viuno na vikalio.Wanawake wa kichina wanavaa Sana jeans viuno vyao na vikalio viduchu utafikiri wamepigwa pasi
Na pia ukumbuke miili yao ni baridi, haina joto kama yetu wamatumbi..[emoji41][emoji41]
 
Zile jeans tight zao hazina vitambaa vigumu kama jeans za kiume...

Jeans tight zao zinavutika kama ulimbo...

Cc: mahondaw
 
Kila mtu na preferences zake...mimi napenda suruali za jeans sanaaa na haitabadilika
Yupo ambaye hapendi kabisa suruali

Tuvumiliane tu
 
Na tuvumiliane kwenye kukosoana.
With love..
 
Back
Top Bottom