Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Dr siku zote nilidhani hii ID ni maneno mawili ya kiingereza umeyachanganya.


measkron: ni kijiji kimoja wilayani Hanang, nilipozaliwa miaka hiyo, sipasahau as is the place i was born and enjoyed my childhood there!
 
Kuna ule mwingine pia ni mzuri...kwenye seoson ya tatu mwanzoni..

Unaimba "Maria mirvida mi amooorrr"... Hapo kuna sauti ya Nairobi inanidatisha sana[emoji39][emoji39]
Hahaha, sikuufatilia sana huo ila ni mzuri pia....ninao ule uliobeba Movie my lifes goes on( i don't care at all, i'm lost)
 
Michuano ya kombe la dunia 2018, Mbappe alidominate sana, France walivyochukua kombe nikatengeneza hii ID.
Safi mkuu hata mimi namkubali sana Kylian Mbappe na nilikuwa sipendi kabisa mpira ila baada ya France kuchukua kombe la dunia mwaka jana ndiyo nikaanza rasmi kuwa shabiki wa mpira kwa sababu ya maajabu aliyoyaonesha huyo dogo na nimemuweka kwenye top four katika list yangu ya wachezaji bora duniani
 
Hahahaha kwani amezaliwa mwanzoni au katikati mwa mwaka mkuu?
Hujakosea kabisa. Bibi yake alikuwa girlfriend wangu. Tulimtimua mama yake mwaka 1989 alipopata ujauzito akiwa sekondari.
 
Uzazi wa Mpango ni jina linalojipambanua lenyewe kimaana na niliamua kulitumia baada kujikuta nimemtia mimba mchepuko na mke wangu kwa wakati mmoja hakika dunia niliiona chungu, lakini nashukuru finally wote walijifungua salama na walipishana siku 3. Tangu hapo nachukua tahadhari kwa kuzingatia huu mpango wa uzazi.
 
Ili iweje..,?..walio kweny ndoa wenyewe wanajuta Kwanzaa sina uhusiano nae wowote maana hamkawihi kusema mara ooh namchezea sjui nampotezea mda..
Sasa kumbe mnavyotajaga sifa za wanawake mnaotaka kuwaoa huwa mnatuzeveza siyo? Sasa huyo mbona kama anazo nyingi tu na haujamuoa? Wanaume bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…