Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kama kichwa cha habar kisemavyo sina maelezo mengi.

Je wana jf waweza jiuliza kwanin unatumia hilo jina hapa jf?
Na watu wakilisoma labda watapata ushawishi gani akilini mwao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ya humu mengine ni bandia, yako huko duniani kwenye vitambulisho vya NIDA
  1. Kufakunoga
  2. Chamtumavi
  3. Gusaninuke
  4. Inamauchume
  5. Matakoyamwani
 
Chuma Hiko👇😆
download-32.jpg
 
Mr C kaulihuru .... Mr is truu kama kiwakilishi husika alafu C Herufi ya jina langu pendwa japo pia si halisi ila ndo natumia toka darasa lanne kuna makosa flan yalifanyika kiuhalisia ni jina la Baba mzazi. Kauli Huru hili ni jina nimelochagua kutokana na kupenda kupata uhuru wakuongea yalio moyoni hasa kijamii niliamua kutumia jina hili baada ya kuamua kua mhanga wakuitetea Familia yangu na jamii kwa ujumla ndoto zangu ni kuisimamisha bendera yangu katika kuijenga jamii hii iishiyo kinyume na uhalisia uliotakikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom