Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Sasa mkuu maisha siyo gharama kule maana si unajua uchumi wa wenzetu? Unaweza kuta mtu anaingiza hata million 3 kwa mwezi lakini matumizi yake kwa mwezi yakamaliza karibu huo mshahara wake wote na hapo ni kwa basic needs tu!
 
Napenda "MIZIGO" kupitiliza, Mwanamke mwembamba siwezi kuwa na mahusiano nae hata kwa kuigiza[emoji39]
 
Na zinapatikanaje hizo sasa??
Ukiwa huko lazima uwe na document moja inaitwa Work Permit na nyingine inaitwa Social Security Number.....bila hizo huwezi kuajiriwa popote...ni kinyune cha sheria ya nchi ile...
 
Ni kweli...sisi hatuwezi kushikana mikono sehemu yenye fursa...na pia tuna desturi ya kupuuza mambo mpaka tushuhudie kwa macho kuwa fulani amefanikiwa......

Kwa mfano hata matokeo ya Green card lottery yanapotoka, watz huwa tunachezea 200 mpaka 500 hivi ....wakenya 1500+....
Wenzetu wanapeana information ambazo ni positive, sisi tunapeana Sigara, pombe na majungu..
Na aliyeturoga alikufa zamani za kale
 
Ukiwa huko lazima uwe na document moja inaitwa Work Permit na nyingine inaitwa Social Security Number.....bila hizo huwezi kuajiriwa popote...ni kinyune cha sheria ya nchi ile...
Hizo documents zinapatikana wapi?
 
Sasa mkuu maisha siyo gharama kule maana si unajua uchumi wa wenzetu? Unaweza kuta mtu anaingiza hata million 3 kwa mwezi lakini matumizi yake kwa mwezi yakamaliza karibu huo mshahara wake wote na hapo ni kwa basic needs tu!
Kweli maisha ni gharama...kwa mfano nilikuwa naishi kwenye nyumba ambayo nalipa $ 310 kwa mwezi,Umeme $30 mpaka 35, internet 25 mpaka $30 kwa mwezi...

Kula ...nilikiwa nafanya shopping ya mwezi ya vyakula vya kawaida mbavyo ni vya Kitz..ilinigharimu around $200..

Nyumba ilikwa na bedrooms 2,sebule, jiko na bafu..gharama yake ilikuwa $620....tulikuwa wawili hivyo tuligawana hii kodi ya nyumba.

Kuishi kule inatakiwa kwa mwezi uwe na uwezo wa kutengeneza angalau $2000 kwenda juu..
Nilipichanganya malipo yangu ya mwezi na part time jobs, nilifikia malengo hayo na kuzidi..
 
Hahahah bongo hatunyimani majungu tunanyimana fursa
 
Duuh na makato ya kodi yakoje??
 
Duuh na makato ya kodi yakoje??
Kwa sasa sijajua kama utaratibu umebadilika au la...ila kwa kila bidhaa niliyonunua kodi ilikuwa 10% kama sikosei..kwa malipo ya kazi, kwa mfano ukilipwa $9 kwa lisaa, kodi inakuwa ilishakatwa huko huko...
 
@Abu @Hurairah

Origins of reverence

One of Muhammad's companions was known as Abu Hurairah (literally: "Father of the Kitten") for his attachment to cats.
 
Venine ni lugha ya nchi moja huko Scandinavia, ikimaanisha rafiki. venine ni rafiki mwenye jinsi ya kike (hii lugha ina gender kwa maneno ya kike na kiume kama kifaransa vile). Huwa napenda sana kuwaita colleagues wangu (both ke & me) rafiki, nao pia wanajikuta wananiita rafiki. Huyo kwenye avatar yangu, kiasi nafanana naye kimuonekano na skin complexion (black beauty) na mengine japo mimi si mwanamuziki.
 
Reactions: BAK
Interesing.. I would love to read these works
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…