Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Zero IQ,
Mimi baada ya kukaa na kutafakari sana maisha ya wenzetu huko mbele waliogundua, magari, ndege, umeme, computer na nk.

Nikajifananisha na mimi ambae siwezi kuunda ata baiskeri ya miti

Basi nikajiona tu mi sina chochote huko kwenye mamlaka ya ubongo wangu yaani ZERO IQ.

Kitu pekee nachoweza kufanya ni uchakataji.
 
Wa viazi kuwa vibanzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah nikweli.
 
[emoji23][emoji23]yaani watu wanastori na majina yao.
 
ISMOO Maana yake ni ISRAEL MOSES hayo ni majina yangu niliamua kufupisha.[emoji115]
 

BAK katika ubora wake.

Cc: denooJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…