Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Rafiki..
 
Ivan yupo ni dogo langu Kwa mama yangu mdogo Sio mbaya na mwanangu ataitwa
Ivan the terrible!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji91]
Ivan the Terrible hakuwa mkorofi ila alikuwa strict kwa watu wagumu kuongozwa. Ndio maana alivyoachana nao akaenda zake nje ya mji yaliwashinda wakamuomba awaongoze tena hapo ndio akawa mkorofi zaidi
 
Inamaanisha Ukurasa nambari 95. Ndani ya Kitabu cha Waziri Mkuu (PM).

Kilichopo ndani ya huo ukurasa, nadhani Depal anaweza kunisaidia. Ni ukurasa maalum sana.
Nimecheka kwa sauti 🤣

Na ukumbukwe daima ukurasa ule 😜
 
Spider buibui [emoji887]
Nyoka snake [emoji216]
Nikimansha mm ni mchanganyiko wa jamii mbili za baba na mama nmefanansha nyoka na kaskazin na spider tokea central

Na jeei ndo nooloka [emoji2211]

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Hii story bado hujaandika mkuu!?
 
Kirakauu ; kwetu Moshi ni Jin la mti Moja mgumu sana kama mpingo, zamani wale wazee wa shoka walikuwa wakifananishwa na huo mti.
 
Basi nenda nimejiita after wimbo wa Mo music,wengi mnaujua,kwa kifupi nimeamua kuamuacha mtu japo ni Kama kufuru lakini naona Kama ndio napoza Moyo, uwepo wake ulikuwa sawa na mwiba kidoreni na ile asali iligeuka shubiri
Nilimwamini nikampa Moyo,hata kutendwa sikufikili,kinywa kikawa kizito kukubali ukweli na Moyo uliuma ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…