Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Nadhani mpo salama weekend hii ila mi nimejaribu kujiuliza kwanini watu tumejipa majina haya tunayotumia hapa je yana maana katika maisha yako? Vipi kuhusu Avatar yako?

Mimi kudo lina maana katika maisha yangu hasa nyakat za shule kila tulipojadiliana kitu basi mwishon lazima niseme neno KUDOS kama heko kwa majadiliano yetu na wengi wakapenda kuniita hivyo KUDO

Avatar yangu inasadifu tabia yangu ya kupenda kusoma sana vitabu

Je wewe jina lako na Avatar kwanini umependa kuvitumia?
 
kumbe ndio wewe mkuu kudos, ulikuwa muongomuongo sana enzi zile.
 
Hiki kijina nilitumia kama nick name olevel miaka michache iliyopita , kwahiyo kwa niliosoma nao wajue ndo Mimi yuleee
 
Id name: napenda sana magari, hasa American muscle Supercharger ingawa sijafanikiwa hata kumiliki mojawapo ya hizo....

Avatar: niligoogle tu hiyo Diplomat Plate number nothing else

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…