ShikamooSina Kinyongo na MTU, sina makuu ni MTU wa watu ni SWAHIBA wa kila Aliye Mwema..1992..(92)Nilifunga Ndoa, Nikampata mwenzi wa maisha..
Mkuu ushafika OT kweli kwenye stadium tour!!..Napenda sna formula 1 grand prix,vle vle gp ina personal meaning,io rooney nliitwa hvyo siku nakanyaga old trafford km tour,na homeguys walpendelea kuniita hvyo uwanjani til nlipoacha soka 7b ya injury,tho jina lmekuaaaaa.. fact/fiction [emoji41]
Uko juu Dada. ππππSina Kinyongo na MTU, sina makuu ni MTU wa watu ni SWAHIBA wa kila Aliye Mwema..1992..(92)Nilifunga Ndoa, Nikampata mwenzi wa maisha..
Ulipozaliwa nami kesho yake nikazaliwa.My birth day aiseee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kwa kweli ni Historia ndefu sana.
Iyo chura yako kwenye Avatar.Sina Kinyongo na MTU, sina makuu ni MTU wa watu ni SWAHIBA wa kila Aliye Mwema..1992..(92)Nilifunga Ndoa, Nikampata mwenzi wa maisha..
Zinapatikana wapi.Mbao za Mawe Jina hili nililitumia kwa sababu Mbao za Mawe hata uzigonge msumari ni kazi bure hata uzipige randa utakuwa unasumbua akili yako.
Ili kuepuka usumbufu wote huo unatakiwa ufuate misingi ya hizi mbao ili uweze kuzitumia (Urefu na upana) itakubidi upana wako na urefu wa kazi yako ufuate kipimo kilichopo kwenye mbao na sio mbao za mawe zifuate vipimo vyako.
Mbao hizi pia hazipatikani kiholela na hata ubebaji wake ni shughuli kubwa kwani lazima uwe na nguvu za kubeba mbao hizi.
umeme mkuufundi wa nini wewe?π