Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
KAITABA, ni uwanja wa mpira upo mkoani Kagera, mama yangu mzazi alikuwa bosi enzi hizo, akiwa anakagua gwaride uwanjani hapo akashikwa na uchungu,
Alipopelekwa chumba cha faragha uwanjani hapo nikazaliwa mimi,
Kwa hilo linahitaji ubunifu mkubwa. Kil bark. Kil ni Kilimanjaro ambapo ni asili yangu na bark ni sauti ya mbwa anayebweka kufukuza wezi. Sitaki kuwa mkabila isipokuwa naipenda asili yangu na watu wangu kwani sio waoga. Waulize CCM kuhusu mkoa wa Kilimanjaro.
Ha ha ha ha we mkali! Jay, Jay, Jay na Jay unanikumbusha George Foreman watoto wake wote wa kiume nadhani aliwapa jina la George na mwanamke akamuita Georgina.
Mwawado,Mwawado: Ni Upondo,Mti mgumu na una umbo la Fimbo,unatumika na Wavuvi kuweka nyavu vizuri (kutanua matundu ya nyavu za uvuvi) na mara nyingine hutumiwa kama silaha katika majazi.Jina Mwawado asili yake ni kabila la Digo.Miti hiyo mfano ya mianzi huota pembezoni mwa bahari ya Hindi, ukanda wa Pwani kutoka Mwambani mpaka Pangani.Mwawado pia ni jina maarufu la Ukoo huko Tanga.
Ziondaughter au Binti Sayuni
Sayuni mji mtakatifu wa Mungu ulioteuliwa kwa ajili ya wateule.Waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache.
PAESULTA,nilijijipa hili nikiwa shule ya msingi darasaa la sita mwaka 1993,sababu nilimpenda sana msichana mmoja hivi(amini usiamini mpaka leo hajanitoka moyoni ingawa hatukuwahi kuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi kwani sijamuona tena baada ya kumaliza shule ya msingi zaidi ya mawasiliano ya barua kwa muda fulani tulipokwenda sekondari) ,anywa as i was saying nilijipa jina hili baada kuweza kuunganisha herufi ya majina yetu mawili na likatokea jina hili ambalo linatakiwa kurepresent mapenzi yangu kwa msichana yule kwa jinsi yalivyo.sidhani kama nitakuja kumsahau,aliniingia sana moyoni...
garimoshi lenyewe la kwendea kwenye huo mji ndiyo mimi, mji mtakatifu kwa walioteuliwa.
Zion train is coming our way;
The Zion train is coming our way;
Oh, people, get on board! (you better get on board!)
Thank the Lord (praise Fari) -
I gotta catch a train, 'cause there is no other station;
Then you going in the same direction (ooh-ooh).
Zion's train is coming our way;
The Zion's train is coming our way.
Which man can save his brother's soul? (save your brother's soul)
Oh man, it's just self control. (oo-hoo-oo!)
came in the world and lose your soul (just don't lose your soul)
you see Wise man is better than silver and gold -
To the bridge (ooh-ooh!)
Oh, where there's a will,
There's always a way.
Where there's a will,
There's always a way (way, way, way, way),
Soul train is coming our way; er!
Soul train is coming our way.
Two thousand years of history (history)
Could not be wiped away so easily.
Two thousand years of history (Black history)
Could not be wiped so easily (could not be wiped so easily).
Oh, children, Zion train is comin' our way; get on board now!
They said the Zion train is comin' our way;
you got a ticket, so thank the Lord!
Zion's train is - Zion's train is - Zion's train is - Zion's train -
They said the soul train is coming our way;
They said the soul train is coming our way. /fadeout/
Usikate tamaa ndugu yangu. Na siku hizi kutokana na mtandao unaweza kumpata kirahisi kabisa ili umwage sera zako kama bado yuko available na wewe pia uko available basi mambo yanaweza kabisa kujipa na ndoto yako ikatimia.
BAK,nikiweza kumpata itakuwa vyema,miaka mingi imepita sitegemei chochote kutokea, kikubwa ni kuwa natumia jina hili kama kuheshimu mapenzi niliyokuwa nayo kwa huyu binti....
Unaweza kumpata kama kweli ulimpenda usikate tamaa, kumbuka milima haikutani lakini binadamu twakutana.
Huwezi amini mie mtu ambaye tulipotezana miaka 13 iliyopita , tumekutana kumbe na yeye hivyo hivyo kama wewe ulivyosema alikuwa ananipenda lakini hakunitamkia chochote. Kumbe alikuwa ananifatilia information zangu kinyemela.