Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeenh wee ulikuwa nouma aixeechogo nchumari
ndomo tenga
maskio walu walu
Makanyaga
Mwara
Kichogo mapua classic japo nlikua cna pua kubwa
Ila LA mwara nlikua nakasirika na wakalishikia bango hilo hilo
Aaah mkuu hayo majina yako kiboko ila sasa hivi mademu wanakwita hadsome ndio ukitaka kuamini pesa sabuni ya RohoMakanyaga
Mwara
Kichogo mapua classic japo nlikua cna pua kubwa
Ila LA mwara nlikua nakasirika na wakalishikia bango hilo hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akhuuu kipnd hiko nlikua mdogo buanaaUtakua andunje eeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbeeUtotoni walikua wananiita bi chau sababu nilikua naongea haraka haraka
Hahahaha hapana ni Babu tuuinspector haroun
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wananiita lips dendaAaah mkuu hayo majina yako kiboko ila sasa hivi mademu wanakwita hadsome ndio ukitaka kuamini pesa sabuni ya Roho
hihihi yote yako.chogo nchumari
ndomo tenga
maskio walu walu
Na kweli hadi sasa bado wewe ni bi chau tu