Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

Duuu...aisee kwa sura hiyo hivi hata mkunyenge tunaenda winga kweli ...mbona huyo demu wako hiyo sura kama kanusurika kulipuliwa na Bomu
Mkuu hiyo sura isikutishe vitu anavyonipa huyu demu walahi sijawahi ona aseee.
 
Makanyaga
Mwara
Kichogo mapua classic japo nlikua cna pua kubwa
Ila LA mwara nlikua nakasirika na wakalishikia bango hilo hilo
Aaah mkuu hayo majina yako kiboko ila sasa hivi mademu wanakwita hadsome ndio ukitaka kuamini pesa sabuni ya Roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…