Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

JOURNEYMAN
sijawah tulie sehem moja sijui ni pepo? Sikumbuk kama nishawah ish sehem moja miaka zaid ya mitatu tofaut na utotoni, idadi ya shule nilizosoma nikiweka humu/nikiorodhesha waweza uhsi natafta kiki, Home wakaona ushenzi huu, wakaenda kunitupa jitegemee wakanikabz kwa Mkisi wakamwambia huyu mpk amalize hamna kutoka nje ya hii eneo(Nilikaa karbun mwaka mzima sijatoa hata mguu kwenye lile geti la jitegemee), vyuo nimesoma viwili ngazi ya degree.

Nimeish na wazazi nikachoka, nikaenda kwa babu na bibi nikachoka, kwa Mamkubwa nikachoka, kwa shangaz nikachoka, nikarud home nikachoka, ndo wakanipeleka boarding huko nako daaa...... Ngoja niishie hapa, ilifka hatua nikaanzishiwa maombi, bimkubwa alikua akiumia sana akihisi hata nikipata kazi sitaweza, nakumbuka nilipataga tempo mzee akamfuata bosi akamwambia "huyu akimaliza mwezi nitaamin kweli kuna maajab" nilikaa week 2, yule mzungu aliniomba nibak lakn wapi,
 
RIRIRI KUTOKANA NA KUWA NA R ZAIDI YA 3 KWENYE MAJINA YANGU ILA NOW , WANANIITA HARMORAPA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Controller
Kutokan na ball control nzuri mpirani
Mangi mtoto
Kutokana na kuachiw kusimamia biashara ya mzee nikiwa na umri mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…