The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 4,118 Reaction score 9,864 Sep 25, 2023 #1 Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake kuna kila dalili timu ya washauri imeshabadilika
Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake kuna kila dalili timu ya washauri imeshabadilika
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Nov 7, 2023 #2 The Burning Spear said: Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake kuna kila dalili timu ya washauri imeshabadilika Click to expand... Ni bure uwezi kumshauri mpumbavu kuwa ana akili ...mpumbavu ni mpumbavu tu kwamwe mpumbavu hawezi kumiliki akili bora na madhubuti ...washauri wazuri wanafanya kazi nzuri pale wanaye mchauri anapokuwa ni mtu mwenye akili kubwa na asiye mpumbavu
The Burning Spear said: Baada ya Sakata la DPW upepo wa siasa umebadilika sana ni dhahiri mama kashagundua alikuwa amezungukwa na ukoo wa panya. Hii pangua pangua. Weka ma meja general kaanza kurudi kwa mtangulizi wake kuna kila dalili timu ya washauri imeshabadilika Click to expand... Ni bure uwezi kumshauri mpumbavu kuwa ana akili ...mpumbavu ni mpumbavu tu kwamwe mpumbavu hawezi kumiliki akili bora na madhubuti ...washauri wazuri wanafanya kazi nzuri pale wanaye mchauri anapokuwa ni mtu mwenye akili kubwa na asiye mpumbavu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 7, 2023 #3 Hakika...