Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hizo nyota zingine kubwa kuliko jua zinatabia ya ku- explode na kusambaratika na umbali wake ni mkubwa sana na ilipo duniaJua ni moja ya nyota ndogo , sio kweli kwamba maisha ulimwenguni yanategemea jua , jua ni center ya sayari zetu hizi kwenye galaxy ambayo tunapatikana , jua ni dogo sana ukilinganisha na baadhi ya nyota kubwa sana post hii imejaa upotoshwaji.