Loftins JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 10,485 Reaction score 13,693 Sep 26, 2018 #221 geniusMe said: Jua ni moja ya nyota ndogo , sio kweli kwamba maisha ulimwenguni yanategemea jua , jua ni center ya sayari zetu hizi kwenye galaxy ambayo tunapatikana , jua ni dogo sana ukilinganisha na baadhi ya nyota kubwa sana post hii imejaa upotoshwaji. Click to expand... Hizo nyota zingine kubwa kuliko jua zinatabia ya ku- explode na kusambaratika na umbali wake ni mkubwa sana na ilipo dunia
geniusMe said: Jua ni moja ya nyota ndogo , sio kweli kwamba maisha ulimwenguni yanategemea jua , jua ni center ya sayari zetu hizi kwenye galaxy ambayo tunapatikana , jua ni dogo sana ukilinganisha na baadhi ya nyota kubwa sana post hii imejaa upotoshwaji. Click to expand... Hizo nyota zingine kubwa kuliko jua zinatabia ya ku- explode na kusambaratika na umbali wake ni mkubwa sana na ilipo dunia
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Mar 12, 2019 #222 ni mtazamo tu wala jua si mungu..[emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app