Je, juhudi za kupambana kuzuia dawa asili za kulevya kama bangi na miraa zina matokeo yoyote?

briophyta plantae

Senior Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
117
Reaction score
132
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi wala mtumiaji mirungi amekosa mirungi.

Nini hasa kifanyike kufanya hizi jitihada ziwe na matokeo chanya yanayoonekana?
 
Matokeo yake, wengi wameenda jela, wengi wameuliwa.katika haya mapambano.
Hata rate, ya mzunguko umepungua kushinda miaka Kumi nyuma..
Hence drug arrests has fell drastically but remained pronounced.
Kama hivi wewe tunaiongelea. Lakini haipo katika rate ya miaka kumi mpaka mitatu iliyopita. Duniani.
Fanya tena research yako.
Mfano marekani, Cocaine trafficking imeshuka kutoka asilimia 40 mwaka 2003 mpaka kufika asilimia 9.3 mwaka 2022.
Huku Tanzania ndio papatu papatu kabisaaaaa.
Unakuta mtu mmoja au 40 ndio wanabeba walau kilo 400 kwa mwaka. Back then hizi kilo 400 zilikua ziina move kwa masaa tu, kutoka masasi kwenda brazil, italy au paris ufaransa kutoka Tanzania. Walibeba vijana wadogo mpaka Watu wazima. Na wengi wapo jela za nje, tunawapambania kuwarudisha na effort zinaendelea.
Currently Hakuna rate kubwa.
 
Umesema ukweli kabisa mwamba!
 
Rate ya kujua kiwango kinachopitishwa cha dawa za kulevya wanaipata kwa njia gani? Tuachane na rate ya kwenye takwimu ambazo hatujajua wamezipata kwa methods zipi turudi kwenye uhalisia kwa jamii tunayoishi nayo kwa sasa hali ikoje.
 
Huo ndio uhalisia, tunaangalia watu wanavyokwamatwa je! Wamepngua au muongezeka,
Jee! Watu sober wamepungua au wameongezeka?
Hata vijiweni je! Kuna watu zaidi au wameongezeka.
 
Mimi sijaona juhudi zozote zilizo leta matokeo mazuri kuhusu Bangi, kwa sasa Bangi inauzwa mtaani kama mchicha tu. Kila kijiwe kuna wauzaji zaidi ya watatu, kila kona ya mtaa kuna maskani.

Polisi wakifika wanachukua hela wanaondoka. Kwa sasa inasemekana kama unataka kufanya biashara ya bangi basi uwe na mtaji pamoja na hela ya kuwapoza polisi watakapo kuja.

Sasa kwa style hiyo kuna dalili za kupunguza au kupambana na matumizi ya Bangi au ni maigizo tu?
 
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi wala mtumiaji mirungi amekosa mirungi.

Nini hasa kifanyike kufanya hizi jitihada ziwe na matokeo chanya yanayoonekana?
Hatuhitaji kuwa ba mapambano dhidi ya Bangi. Tunahitaji kuweka usimamizi na sio vita. Bangi ni tiba bangi ni spiritual bangi ni intelligence bangi is employment opportunity Bangi is life ….. same as khatt hiyo mirungi. The only problem ni tunaongozwa na viongozi poor minded. Matokeo yake tunanufaisha wachache hasa wageni, millions of tons zinatoka TZ kwenda kenya Uganda na Rwanda then wao wana export to overseas with their label . Imagine huwa tunachelewa snaa kuuona ukwel kama ilivyo kwenye starlink internet . CCM ni mzigo kwa TAIFA. Tuna resources nyingi snaa Tatizo kubwa ni AKILI ELIMU AKILI ELIMU AKILI ELIMU
 
Na yakizuiriwa ww mwananch maskini utafaidika vp
Badala ya kuwaza rushwa na wizi vitazuiwa vp ww unawaza starehe za watu
 
Huo ndio uhalisia, tunaangalia watu wanavyokwamatwa je! Wamepngua au muongezeka,
Jee! Watu sober wamepungua au wameongezeka?
Hata vijiweni je! Kuna watu zaidi au wameongezeka.
Huenda wana mbinu mbadala ili wasikamatwe kirahisi kama mwanzo,
Saiv sio vijiweni tu wanavutia bangi,mpaka ukienda kumbi za starehe wanavuta kama sigara tu.
 
Hatuhitaji kuwa ba mapambano dhidi ya Bangi. Tunahitaji kuweka usimamizi na sio vita. Bangi ni tiba bangi ni spiritual bangi ni intelligence bangi is employment opportunity Bangi is life ….. same as khatt hiyo mirungi. The only problem ni tunaongozwa na viongozi poor minded. Matokeo yake tunanufaisha wachache hasa wageni, millions of tons zinatoka TZ kwenda kenya Uganda na Rwanda then wao wana export to overseas with their label . Imagine huwa tunachelewa snaa kuuona ukwel kama ilivyo kwenye starlink internet . CCM ni mzigo kwa TAIFA. Tuna resources nyingi snaa Tatizo kubwa ni AKILI ELIMU AKILI ELIMU AKILI ELIMU
Wazo zuri..
 
Na yakizuiriwa ww mwananch maskini utafaidika vp
Badala ya kuwaza rushwa na wizi vitazuiwa vp ww unawaza starehe za watu
Kipi kifanyike maana hata huo wizi na rushwa ukiuwaza bila kujua nini kifanyike itabakia kwenye mawazo yako tu,utakuwa unatatua tatizo kwa hisia.
 
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi wala mtumiaji mirungi amekosa mirungi.

Nini hasa kifanyike kufanya hizi jitihada ziwe na matokeo chanya yanayoonekana?
KENYA NAONA AKAUNTI YA MOMBASA WAMEANZA BAADA YA KUONA TZ TUMEWEZA SWALA LA MIRUNGI
 
Huenda wana mbinu mbadala ili wasikamatwe kirahisi kama mwanzo,
Saiv sio vijiweni tu wanavutia bangi,mpaka ukienda kumbi za starehe wanavuta kama sigara tu.
Umezaliwa lini wewe? Bangi inavutwa wayback, unga watu wana sniff wayback,
Nimekupa data, fanya research kama hujaridhika, madawa ya kulevya yanapungua kasi, hivi kuna sehemu watu walivuta Unga na kuvuta bangi kama club. Kwa macheni, bilcanas, mbalamwezi, sea cliff, slip way. Sikuhizi hakuna tena, au unasema bangi mnasema zinawekwa kwenye filter zenu za shisha sijui kitambaa cheupe. Hamna kitu mule.
Vita zidi ya vitu hivo ni mkali kijana, watu hawacheki, dunia nzima.
Nenda lilungu mtwara ukaone vijana waliokamatwa kwa mihadarati, nenda pale border ya Tanzania na msumbiji, hakuna kuvusha. Sasa pale watu walikua wanapita na makasha yaa pakistan ya cocaine kama wanavuka na makasha ya kubebea pipi.
Actually kwasababu upo kwenye research endelea kupambana utaelewa, wenzako tumeshafanya research na sshahada tayari, Funua mafile yapo tumepost mitandaoni huko. Best of luck with your research. Hizi ni literature nakupa tu.
 
Back
Top Bottom