Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Kutumia mijihela kibaaaao kwenda kuhangaika na majani ambayo yanajiotea tu huko kwenye mapori bila hata kupandwa nao ni ufisadi wa aina yake pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WE JAMAA INAONYESHA UNASTRESS NA MAISHA KAMA ID YAKO KWENYE PICHA YANI MJUAJI WA WAJINGAUmezaliwa lini wewe? Bangi inavutwa wayback, unga watu wana sniff wayback,
Nimekupa data, fanya research kama hujaridhika, madawa ya kulevya yanapungua kasi, hivi kuna sehemu watu walivuta Unga na kuvuta bangi kama club. Kwa macheni, bilcanas, mbalamwezi, sea cliff, slip way. Sikuhizi hakuna tena, au unasema bangi mnasema zinawekwa kwenye filter zenu za shisha sijui kitambaa cheupe. Hamna kitu mule.
Vita zidi ya vitu hivo ni mkali kijana, watu hawacheki, dunia nzima.
Nenda lilungu mtwara ukaone vijana waliokamatwa kwa mihadarati, nenda pale border ya Tanzania na msumbiji, hakuna kuvusha. Sasa pale watu walikua wanapita na makasha yaa pakistan ya cocaine kama wanavuka na makasha ya kubebea pipi.
Actually kwasababu upo kwenye research endelea kupambana utaelewa, wenzako tumeshafanya research na sshahada tayari, Funua mafile yapo tumepost mitandaoni huko. Best of luck with your research. Hizi ni literature nakupa tu.
DoohWE JAMAA INAONYESHA UNASTRESS NA MAISHA KAMA ID YAKO KWENYE PICHA YANI MJUAJI WA WAJINGA
Asante kwa somo,mimi ni mdogo tu nimezaliwa 1984. Nimeelewa somo lako na nina NGO inayohusiana na masuala haya haya,nilitaka kuoata tu uwiano wa juhudi za kupambana na upatinakani wake ki urahisi mtaani..upande wa elimu juu ya ubaya na madhara umefaulu kushusha matumizi japo sijaona imepunguza kushusha upatikanaji. Naomba elimu zaidi hapo kaka.Umezaliwa lini wewe? Bangi inavutwa wayback, unga watu wana sniff wayback,
Nimekupa data, fanya research kama hujaridhika, madawa ya kulevya yanapungua kasi, hivi kuna sehemu watu walivuta Unga na kuvuta bangi kama club. Kwa macheni, bilcanas, mbalamwezi, sea cliff, slip way. Sikuhizi hakuna tena, au unasema bangi mnasema zinawekwa kwenye filter zenu za shisha sijui kitambaa cheupe. Hamna kitu mule.
Vita zidi ya vitu hivo ni mkali kijana, watu hawacheki, dunia nzima.
Nenda lilungu mtwara ukaone vijana waliokamatwa kwa mihadarati, nenda pale border ya Tanzania na msumbiji, hakuna kuvusha. Sasa pale watu walikua wanapita na makasha yaa pakistan ya cocaine kama wanavuka na makasha ya kubebea pipi.
Actually kwasababu upo kwenye research endelea kupambana utaelewa, wenzako tumeshafanya research na sshahada tayari, Funua mafile yapo tumepost mitandaoni huko. Best of luck with your research. Hizi ni literature nakupa tu.
Yes kaka. Nimeongelea si kwa upana kwenye sehemu ya upatikanaji, ila nimekuonyesha kupitia, trafficking, of which zina work hand in hand. Ndio mzigo unapatkana ila kwa kiasi kidogo sana kulinganisha na nyuma.Asante kwa somo,mimi ni mdogo tu nimezaliwa 1984. Nimeelewa somo lako na nina NGO inayohusiana na masuala haya haya,nilitaka kuoata tu uwiano wa juhudi za kupambana na upatinakani wake ki urahisi mtaani..upande wa elimu juu ya ubaya na madhara umefaulu kushusha matumizi japo sijaona imepunguza kushusha upatikanaji. Naomba elimu zaidi hapo kaka.
Rudia kusoma brother,utaelewa namaanisha nn.Mvuta bangi kutokosa bangi inakuuma nn mkuu?
Hapo napata mwanga sasa, ilikuwa inaniletea mkanganyiko kwenye tafiti yangu,maana juhudi zikipungua pia,na takwimu za ukamataji lazima zitapungua,na pia upatikanaji na isambazaji utaongezeka,acha niendelee kupata maoniData kamili, miaka 11 iliyopita (2012-2023)DCEA walikamata madawa ya kulevya takribani 606,000, lakini mwaka 2023 ulitia fora kwa kukamatwa, Kilo Gram 1,965,340.52, na imefanikiwa Kuzuia uingizaji wa Kg 157,738. Kwa mwaka mmoja, mwaka huu 2024, April zilikamatwa dawa kilo 700, ukipiga hesabu ukamataji , mapambano ni ya hli ya juu.
Refer moja ya comment yangu, nikasema drug arrests imeshuka, ila inabaki pronounced tu. Kwa miaka hii ya karibuni waliokamatwa hawazidi 15,000 . Hvo haya yote ni matokeo ya juhudi ya kupambana na dawa za kulevya, hiyo miraa na bangi, ambayo unakuta hiyo ndio inakamatwa kweli kweli