4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
shida sio nan kumuona shujaa ila taratibu zinasema kutoa usiri wa mtu huo ni uhalifu , kama ana malalamiko mahakama zipoInategemea ni jambo gani!
Tafuta basi hata interview aliyoifanya mke wake Leo kwenye Hard talk ya BBC,huenda ukaongeza maarifa kuliko hivyo ulivyo mtupu!
Hata Snowden raia wa Marekani wanamuona shujaa!