Je, Julian Assange ni Shujaa au Msaliti?

Inategemea ni jambo gani!
Tafuta basi hata interview aliyoifanya mke wake Leo kwenye Hard talk ya BBC,huenda ukaongeza maarifa kuliko hivyo ulivyo mtupu!
Hata Snowden raia wa Marekani wanamuona shujaa!
shida sio nan kumuona shujaa ila taratibu zinasema kutoa usiri wa mtu huo ni uhalifu , kama ana malalamiko mahakama zipo
 
Nlichanganya lakini ungesoma mpaka mwisho kuna sehemu nimeeleza humo katikati wakati nazungumzia kuhusu kushitakiwa na kufungwa kwa chelsea
 
shida sio nan kumuona shujaa ila taratibu zinasema kutoa usiri wa mtu huo ni uhalifu , kama ana malalamiko mahakama zipo
We vp?War crimes ni Siri za mtu?
 
Nimekwambia nimeongeza maarifa Kwa kuisikiliza hiyo interview!Mfano,nilikuwa sijui kuwa kumbe alipokuwa hifadhini ubalozi wa Ecuador,CIA walipenyeza microphones za Siri mpaka sehemu anakolala!So hata vikao vyake vya legal issues,walikuwa wanasikiliza hao hao wamarekani wanaotaka kumfungs miaka 175 baada ya kutoboa Siri zao za war crimes huko Afghanistan!
Kipindi kinarudiwa Sasa hivi BBC!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…