Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

Kuna kabla lnafanana na wahaya lnaitwa wanyambo n nomaaa

Nimebahatika kuona binti wa kinyambo mmoja tu maishani mwangu na yupo bomba na mweupe ila kimo na mwili ndio bado kama maneno yako ila bado anakua, ..maneno yako nayakubali kubali vile...!
 
Wairaqw a.k.a Wambulu ni kwere man. Naona kura nyingi humu zimewaangukia wao. Sema maji mara moja! Kitendo bila kuchelewa. Ni chap!
 
Wambulu, Wairaq Malaya Balaa.Wanagegedana Ndugu Kwa Ndugu Kama Wamelogwa.
 
Wanyamwez........tena natumia fursa hii km kuna mnyamwez humu ndan namhitaji......... coz ni warefu dizain flan Amazing..n.k
 
Kuna kabila moja Manyara linaitwa wamang'ati au datoga wazuri ila mambo ya mapenzi wanajifunza ukubwani
 
Siku ya Wanawake Duniani,
Wanawake Wote warembo, hongereni.
P
 
Nimepita milimani Mbulu na Babati Manyara,Wambulu na Wairaq ni wazuri sana,yani hapa tunazungumzia uzuri wa asili,no make ups no what,na ukimwangalia mwanamke unasema yes kuna wanawake wazuri Tanzania,sijui tu tabia zao...
 
Ile species ya Watsusi ni asili ya wapi?
Mbona wazuri saana??
Wahaya, Watutsi, Wahangaza, Waganda, Wanyankole, Watoro
ni jamii ya Interlucustrine walikuwa chini ya utawala wa Bunyoro Kingdom chini ya mfalme Kabaka. Wanawake wao ni wazuri, warembo na kwenye yale mengineyo ni hatari, very dangerous !.
P
 
Wahaya, Watutsi, Wahangaza, Waganda, Wanyankole, Watoro
ni jamii ya Interlucustrine walikuwa chini ya utawala wa Bunyoro Kingdom chini ya mfalme Kabaka. Wanawake wao ni wazuri, warembo na kwenye yale mengineyo ni hatari, very dangerous !.
P
Ni wazuri na wanavutia,
Wamepanda na shape wanazo! Hata kaka zao ni ma gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…