Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

asilimia hamsini ya wanawake wa kihangaza wanaolewa wakiwa bikra, kule utaenda unamkuta mdada ana miaka 25 lakini bado bikira.
 
Niko kwenye utafiti kielimu

aiseee baba yangu utatunikiwa degree ya utaira,,kwanza unapoteza muda wenzako wanafanya utafiti wa kwenda mwezini wewe bado upo kwenye ukabila

ngoja nikatengeneze mbege mie
na elimu yangu ya darasa la 7
 
kulivo na mkorogo, nywele feki, kucha feki, nyusi feki, wowowo feki, kila kabila siku hizi karibia wote ni warembo...
 
Kwa urembo wa umbo, shape, sura, waist line, bust line, leggy line, nywele, shingo, macho na miondoko, Wahangaza ndio wanaongoza, wameumbwa wakaumbika, wanatazama na kutazamika ila sijawahi kubahatika nao katika mbambo mengine.

Uzuri uko wa aina nyingi, uzuri wa mke ni tabia, uzuri wa mahitaji ni performance, na uzuri wa machoni ni kuona, inategemea uzuri gani unaoutaka wewe, kama ni ule uzuri wa kufurahisha macho, mbona wazuri kibao tuu tunawaona, wengi wala hawaolewi, wao kutwa kucha wanahangaika wakitanga na njia huku wapenzi wao macho juu juu, lakini kuna wazuri wa ndani kwa uzuri usiionekana, hao ndio hao wameolewa, waume zao wanapata raha na maisha yanasonga!

Pasco,

Kwa maudhui uliyoyatoa. Je, unafikili anaweza kupatikana mwanamke mwenye uzuri wa tabia, mahitaji na macho kwa jamii ya Kitanzania na kama ni hivyo, Je unafikili ni kabila gani lenye uwezekano wa kuwa na mwanamke huyo(general)
 
asilimia hamsini ya wanawake wa kihangaza wanaolewa wakiwa bikra, kule utaenda unamkuta mdada ana miaka 25 lakini bado bikira.
asee, hawa wanapatikana mkoa gani na kijiji gani nikatafute mke mkuu???
 
Pasco,

Kwa maudhui uliyoyatoa. Je, unafikili anaweza kupatikana mwanamke mwenye uzuri wa tabia, mahitaji na macho kwa jamii ya Kitanzania na kama ni hivyo, Je unafikili ni kabila gani lenye uwezekano wa kuwa na mwanamke huyo(general)
Hakuna mwanamke mwenye vyote, unapewa hiki, unakosa kile!.
 
wakuuu wanawake wazuri wa kila kitu wapo kwenye kabila la WASIMBITI niwa tam na wazuri sana
 
Tembea uone Pasco! Kuna wanawake wamejaaliwa kuanzia Sura,umbo,mvuto hadi tabia!! Unaniangusha Pasco!
King Kong, ujana wangu niliutumia vizuri na sasa katika utu uzima, mimi ni mwafrika halisi kwa experiance yangu ambayo sii haba, sijawahi bahatika kukutana na balanced equation, Kwanza nilipenda nyele ndefu na miguu minene, nikakuta ..., baadae nikatarget sura nzuri, waupe na ma miss miss nao nikakuta ..., nilikuja settle kwenye black beauty, angalau angalau, sasa nimestaafu rasmi save for long trips only, bado sijabahatika!.

Ila love satisfaction is relative and an atitude of mind, ukishapenda kwa moyo wote kufikia stages za true love, then you get the most at your best ndio maana kuna sehemu ukipita wewe, unaishia kutambaa kwa kuona "there is nothing", huku mwenzako anafika jumla na kwake yeye hapo ndio "everything". No formular that fits all.
 
wanyamwez wanatisha na ukitaka kuthibitisha hilo ingia interior utagundua; wao n natural beauty kila kigezo wametmia na co maandunje ka madada weng w kileo
 
Back
Top Bottom