Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko kwenye utafiti kielimu
Kwa urembo wa umbo, shape, sura, waist line, bust line, leggy line, nywele, shingo, macho na miondoko, Wahangaza ndio wanaongoza, wameumbwa wakaumbika, wanatazama na kutazamika ila sijawahi kubahatika nao katika mbambo mengine.
Uzuri uko wa aina nyingi, uzuri wa mke ni tabia, uzuri wa mahitaji ni performance, na uzuri wa machoni ni kuona, inategemea uzuri gani unaoutaka wewe, kama ni ule uzuri wa kufurahisha macho, mbona wazuri kibao tuu tunawaona, wengi wala hawaolewi, wao kutwa kucha wanahangaika wakitanga na njia huku wapenzi wao macho juu juu, lakini kuna wazuri wa ndani kwa uzuri usiionekana, hao ndio hao wameolewa, waume zao wanapata raha na maisha yanasonga!
asee, hawa wanapatikana mkoa gani na kijiji gani nikatafute mke mkuu???asilimia hamsini ya wanawake wa kihangaza wanaolewa wakiwa bikra, kule utaenda unamkuta mdada ana miaka 25 lakini bado bikira.
Hakuna mwanamke mwenye vyote, unapewa hiki, unakosa kile!.Pasco,
Kwa maudhui uliyoyatoa. Je, unafikili anaweza kupatikana mwanamke mwenye uzuri wa tabia, mahitaji na macho kwa jamii ya Kitanzania na kama ni hivyo, Je unafikili ni kabila gani lenye uwezekano wa kuwa na mwanamke huyo(general)
Hakuna mwanamke mwenye vyote, unapewa hiki, unakosa kile!.
King Kong, ujana wangu niliutumia vizuri na sasa katika utu uzima, mimi ni mwafrika halisi kwa experiance yangu ambayo sii haba, sijawahi bahatika kukutana na balanced equation, Kwanza nilipenda nyele ndefu na miguu minene, nikakuta ..., baadae nikatarget sura nzuri, waupe na ma miss miss nao nikakuta ..., nilikuja settle kwenye black beauty, angalau angalau, sasa nimestaafu rasmi save for long trips only, bado sijabahatika!.Tembea uone Pasco! Kuna wanawake wamejaaliwa kuanzia Sura,umbo,mvuto hadi tabia!! Unaniangusha Pasco!
Wakinga je?
Niko kwenye utafiti kielimu